Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mm mwenzenu cjui kwnn huwa siwazi kabisa competition na haya majiji ya EA, mm akili zangu zipo joburg au Tunis yn tukikaribia hapo kidogo akili yng itatulia lkn co mtu aniambie ushuzi wa haya majiji ya East Afrika yn ctokuelewa kabisa, hebu angalia huu uchafu[emoji116][emoji116]View attachment 1486819View attachment 1486820View attachment 1486821View attachment 1486822View attachment 1486824View attachment 1486825View attachment 1486826


Johannesburg kuna maeneo mengi sana ni machafu zaidi ya hizo picha.

Mengi sana.
 
I am not a boy like you are. I am a man. Facts? What facts are you stating? That your sgr station is poorly designed? If your extra floors are useful, what makes you think ours aren't? Isn't that desperation?
Say your a MAN IN SLUM
 
We fala kuna sehemu nimetaja cost za project? Contractor co lazima awe financier, lazima wananchi wajue financier wa mradi km huko kwenu financier hajulikani km co wizi ni nn? Acha kujibu kimihemko uwe unafikiria, construction boards ni muhimu
Huu mradi mchina ana-invest $500 mln halafu anavuna $1 bln sasa kama wewe ni Mchina utataka kuji-expose katika ubakaji huu? Ni mwendo wa kutoa doze kisirisiri tena gizani!
 
This is the stupidest comment I have seen in this forum so far. The things you are mentioning are in the public domain. The contractor is also the financier of the project. Construction is expected to take three years. I have never seen a construction board that states the cost of the project. Your argument doesn't hold any water and it's a stupid one, sorry to say this
We Nyani wa kibera mafisadi Kenya wako na akili mingi kukuzidi wewe ,sasa wewe huwezi jua kwanini hawaweki hiyo construction board ili kuficha na kufanikisha ufisadi wao ,tena ujue uhandisi ni kitu profession kina kanuni zake hizo barabara ni feki tena zakifisadi
 
Hata Waiyaki way na Ngong road hazina construction boards ila ujenzi unaendelea. Your argument is so shallow. Every scope of these projects are well documented in KNHA website, costs included. What's so special about construction boards that you must sweat over them?
Usikute ni barabara za China ndani ya Kenya ndiyo maana wanaficha contraction board
 
Moto moto
105988185_173450520811987_5882942114265514615_n.jpg
 
Back
Top Bottom