Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

JKIA to Westlands Expressway mwendo ni pole pole. I pity wale wachawi wenye hawaamini kuwa ujenzi hujaanza hadi waone signboard.

 
Na zile kelele zote huna data za kuwatch 1080 quality video? 144 ni aibu kwako mzee.
 
Nairobi imepigwa pictures imeisha yote

Dar ndio kwaaanza hata nusu hatujafika, ndio maana hivi vitasa unavyowagonga navyo saivi hawaamini macho yao kama hii ni Dar.
Mkuu tuliwahi kusema humu Dar kuna sehemu nyng bado hazijamulikwa wakabisha, infact kuna location nyng humu NDINDA anazpost wengi wetu wala hatujawahi ziona [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Zamani wakati nipo kijana mdogo nilikuwa najiuliza hayo manafasi makubwa kati kati ya barabara ya nn wameyaacha hivyo, kumbe I was too younger to argue [emoji3][emoji3]
 
Imagine, Screen shot, Then Crop and Edit adding some marks and you still expect Ten Eighty???? [emoji23], Ukiachana na video quality (1080 unayotaka) unakubaliana na mawazo yangu?
Kuwa?
 
NDINDA bhn [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huyu ndio alikua ananiambia mi mambo ya 1080???? Yeye hata kufocus kashindwa[emoji23]

Kuna unaongea vitu ambavyo we mwenyewe huwezi vimudu[emoji23][emoji23][emoji23].
Hiyo sio pichangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…