joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Hao vibaraka waliojitenga na kujenga uchumi wao na kuwapuuza waafrika waliokua wanaomba msaada wako wapi sasa, wamepata nini cha ziada?, si ndio wao kila siku wanawalamba miguu South Afrika ili wwawaondolee visa?. Kila siku wao wanajikomba kwa Afrika ili wafanye biashara na hizo nchi walizozisaliti?.Hapana.
Liberation of Southern Africa ndio limetichelewesha sana.
Wana uchumi gani zaidi ya wa kuongea mdomoni, wanashindwa hata kuzoa takataka Nairobi.Hao vibaraka waliojitenga na kujenga uchumi wao na kuwapuuza waafrika waliokua wanaomba msaada wako wapi sasa, wamepata nini cha ziada?, si ndio wao kila siku wanawalamba miguu South Afrika ili wwawaondolee visa?. Kila siku wao wanajikomba kwa Afrika ili wafanye biashara na hizo nchi walizozisaliti?.
Ss kwny hyo liberation of southern countries ndiyo tulipokuwa tunaaply huo ujamaa, yn tulikuwa tunawasaidia ktk ukombozi then hatuchukui kitu kutoka kwao, yn tunapoteza fedha zetu lkn ujamaa ukatufanya tusi target sehemu zenye mali ili ku compensate resources tulizopoteza, mkuu hatuwezi kupinga hilo, hata China ilishaachana na hyo itikadi ya ujamaa kutokana na dunia ya kibepari tuliyonayo kwa ss.Hapana.
Liberation of Southern Africa ndio limetichelewesha sana.
Sipat picha vumbi lake[emoji23][emoji23] hii itasombwa na maji pale ruvu
Sipat picha vumbi lake
kwani ruvu ipo phase two of construction au umedandia kwa mbele 😂😂😂😂[emoji23][emoji23] hii itasombwa na maji pale ruvu
👇👇👇👇Sipat picha vumbi lake
kwani ruvu ipo phase two of construction au umedandia kwa mbele 😂😂😂😂
So sad..?!!hata sidewalks hujui ni kitu gani,kwa sababu hivyo ni vitu vipya hapo kijijini nairobiLook at sidewalks in Nairobi Kenya
Hizo za Dar ni za Village
View attachment 1485037View attachment 1485038View attachment 1485039View attachment 1485041
Onyesha ni wapi ubepari ulifanikiwa nje ya Europe na Amerika ya kaskazini ambazo uchumi wao ulijengwa kwa misingi ya kikoloni kwa kuhamisha Mali na watumwa toka nchi zilizotawaliwa?.Ss kwny hyo liberation of southern countries ndiyo tulipokuwa tunaaply huo ujamaa, yn tulikuwa tunawasaidia ktk ukombozi then hatuchukui kitu kutoka kwao, yn tunapoteza fedha zetu lkn ujamaa ukatufanya tusi target sehemu zenye mali ili ku compensate resources tulizopoteza, mkuu hatuwezi kupinga hilo, hata China ilishaachana na hyo itikadi ya ujamaa kutokana na dunia ya kibepari tuliyonayo kwa ss.
Wana uchumi gani zaidi ya wa kuongea mdomoni, wanashindwa hata kuzoa takataka Nairobi.