Mkono mtupu haulambwi, especially in the world of politics, you must have money wacha uongo.Sisi ni Ndugu, hatufanyi siasa za makabila...sisi hatuuani kwa sababu ya Madaraka...Siasa kwetu haifanywi kwa matabaka(uwe na pesa ama usiwe nazo )
Hakunaga...Ndani ya CCM hakunaga.Mkono mtupu haulambwi, especially in the world of politics, you must have money wacha uongo.
Ok. as you wish.Hakunaga...Ndani ya CCM hakunaga.
Wewe mwenyewe una wish Kenya ingekuwa kama TZ politicallyOk. as you wish.
Wewe mwenyewe una wish Kenya ingekuwa kama TZ politically
Wacha nikuulize, how many ministers na wakurugenzi wanao kua appointed by the president are from other parties? Nipe ratio, which area in your country iko upande wa upinzani kwa wingi?.,Hakunaga...Ndani ya CCM hakunaga.
KANU,NARC Rainbow,PNU..ODM.Jubilee.hvo ni vyama vya Makabila Makuu ya KenyaOver my dead body![emoji23][emoji23][emoji23], siwezi tamani kha!!.,
Elewa katiba ya Nchi0 kwanza kuhusu wateule wa RaisWacha nikuulize, how many ministers na wakurugenzi wanao kua appointed by the president are from other parties? Nipe ratio, which area in your country iko upande wa upinzani kwa wingi?.,
Wala sio vyama ni vikundi vya kikabila.KANU,NARC Rainbow,PNU..ODM.Jubilee.hvo ni vyama vya Makabila Makuu ya Kenya
Speed ya humu 70km/hr
KANU,NARC Rainbow,PNU..ODM.Jubilee.hvo ni vyama vya Makabila Makuu ya Kenya
Ni kwa nini utafute kura kwa mrengo wa kikabila????why ondoa hyo Kenya...ni kwa nini sio Mkenya bali ni Mkikuyu,mkamba,mluo nk..why?hapo ndo tunasema failed State.KANU si ya kikabila, soma historia ya KANU, maybe kwa sababu president alitoka kwa wakalenjin, but ilianzishwa wakati wa Kenyatta (mkikuyu), NARC (National Rainbow coalition/ndio Rainbow) ilikua muungano wa vyama vingi kutoka upande wote wa Kenya, walimuondoa Moi kwa kumshinda Uhuru Kenyatta wakati aligombea urais kwa tikiti ya chama cha KANU dhidi ya mkikuyu mwenzake Mwai Kibaki., PNU was Kibaki's party, ODM ina umaarufu Nyanza, Western na pwani, Ali Hassan Joho, governor wa Mombasa ni wa ODM ila si mjaluo., Jubilee wengi wao ni Kikuyu na Kalenjin because of population but wako na wajumbe kutoka eneo mbali mbali za Kenya.,
Elewa Kenyan politics, ukitaka kua rais lazima utafute kura from tribes with big population, so the parties that are supported by people from a big population wewe uta conclude eti hizo chama ni za watu wa hiyo lugha, of which is not necessarily true. Kuna watu wanasimama as independent candidates for political position in jubilee and ODM strongholds (yaani mahali pa wafwasi wengi wa hizi chama) na bado wanapita.
Ni kwa nini utafute kura kwa mrengo wa kikabila????why ondoa hyo Kenya...ni kwa nini sio Mkenya bali ni Mkikuyu,mkamba,mluo nk..why?hapo ndo tunasema failed State.
Unakunbuka uchaguzi wa 2007???????kwa nini Mkalenjini amuue Mkikuyu???kwa nini mkamba amuue mlulya....Kwani hayo malabila sio sehemu ya Kenya.. ..Mnatupa Aibu sana E Africa....hzo mavitu ziko nchi ambazo azijitambui....The complexity of politics, nyie ni dead state, kama dead sea ilivyo, hakuna pa kutokea mpo mpo tu.
Tuache SIASA maana Tz is the Best in the region and Africa in General...tupe Maendeleo.The complexity of politics, nyie ni dead state, kama dead sea ilivyo, hakuna pa kutokea mpo mpo tu.
Majority rules?, kwahiyo ninyi kura zenu hupigwa kwa misingi ya ukabila?, kila mtu huchagua kabila lake?. Ndio sababu tunasema hata uwe na uwezo na "Qualifications zote" lakini kama sio mkikuyu, Jaluo au Kalenjin hauwezi kuwa rais Kenya.You need proper education on Kenya's political landscape; it is about population, that is the negatives of democracy, where majority rule, so the tribes with bigger populace are likely to rule the country.
On police brutality and extra judicial killings hatua zinachukuliwa sana if you follow Kenyan news; once kuna complaint na askari anaweza kukua identified anashikwa(thanks to Kenyan media). A resent case ni the one who tied and pulled a young lady on his motorbike, na yule askari alie mpiga risasi mtoto Eastleigh.,n.k., so you dont cherry pick isolated cases to draw a conclusion. Tanzania is worse on extra judicial killings na watu kupotea., pale hauna freedom to criticise the gov't anyhowly. Waulize your media houses.
Presidential System vs Parliamentary system. Unajua siasa au unaropoka hovyo?Wacha nikuulize, how many ministers na wakurugenzi wanao kua appointed by the president are from other parties? Nipe ratio, which area in your country iko upande wa upinzani kwa wingi?.,
Presidential System vs Parliamentary system. Unajua siasa au unaropoka hovyo?
Nigeria wana tatizo la umeme hamna maelezo hizi data huwa wanapika kama Kunyaland!mwenye data kama hii kwa bara nzima kwa mwaka 2019-2020
najua tumewaacha mbali in 2019/2020
hapo kwa SA na Lesotho kunashangaza
View attachment 1481095