Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji205][emoji205][emoji205][emoji205] za slum zitabisha
 
Usijidanganye shule za serikali za tz ni bora mara 10 ya zakenya ,maana nyinyi pimbi za Kenya kwa ubishi wa kipuuzi amjambo
 
Kweli kweli kweli umenena dogo,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Kenya kila kitu ni kwenye makaratasi[emoji23][emoji23][emoji23], tuazime CCM tafadhali naomba[emoji23][emoji23][emoji23]
Kisaikoloji unaonyesha kuumia moyoni baada ya kuona hiyo shule hiyo ndiyo inaitwaga " naked truth "
Ila NAKUPONGEZA KWA KITU KIMOJA nacho ni kuwa na uwezo Wa kuangalia hata hiyo video maana kwa mkenya kuweza kutazama video you tube ni nadra sana hivyo nakupongeza wewe ni mmoja wa maslumist wachache wenye kumbudu internet cost
 
Najua unatamani kulia. Let me tell you something point blank, utakufa ukingoja sign board ya Expressway cause it won't be there.
Siku hukijua kwanini construction board ni ngumu kuonekana kama IPO basi Italia sana ,sababu ni ufisadi ulio nyuma ya huo ujenzi mnajengewa kitu lower quality baadae mkija kugundua ajulikani ni Nani aliye jenga mnaanza kuchanganyana Pesa isha pigwa
 
Hata wewe pia ungoja signboard? Pole for disappointing you cause it won't be there[emoji23][emoji23][emoji23]
Habari ya chini ya kapeti
Inasemekana hiyo barabara aina "signboard " sababu kuna ufisadi mkubwa unaendelea kwenye huo ujenzi ni lower quality 5 year lifespan load
 
Najua unatamani kulia. Let me tell you something point blank, utakufa ukingoja sign board ya Expressway cause it won't be there.
hutapata sign board hili nakwambia mark my words 😂😂😂😂 nilie na render au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…