Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

alikwambia part ni nani [emoji23][emoji23][emoji23] hebu tuoneshe rest part iliobakia ushuzi wa mbuzi
Ichobiy01, vipi leo? Uko freshi? That picture ni ya kitambo sana, and a section of Island, Mwambie aweke Arial view ya Tudor, view of the whole area behind the cameraman from English point all the way to Nyali, from Mwembe all the way to port reitz, Njomvu? Bamburi? Bombolulu?, hazipo.,
 
Mkuu umesahau kitu kingine muhimu sana ambacho wakenya watabaki nacho kwa muda mrefu sana. SLUMS!
 
Yaani hili jengo ndio la maabara ya chuo kikuu eti cha sayansi na teknolojia? Hili jengo na wodi za hospital zina tofauti gani? Vyuo vingine vinakera kwa kweli jengo ugly kiasi hicho ,kwamba hawajaona majengo ya vyo vya wenzao kama udsm au udom nk nk? hawa ni poor kabisa kwenye ubunifu wa majengo yenye mvuto afu wanatoa na kozi ya architecture
 
Wewe unajidai umetembea Kenya yote, unaijua Mombasa, wapi area ya Tudor kwa hiyo picha? Buxton?, Bamburi? Kutoka hapo English point aliko simama cameraman to Nyali yote haipo(almost same size na CBD), Bombolulu? Mombasa ni mama ya Dar[emoji23][emoji23] wewe unaijua kwa google tu.,
alikwambia part ni nani [emoji23][emoji23][emoji23] hebu tuoneshe rest part iliobakia ushuzi wa mbuzi
Kwa umbali this is the bigger part or section of developed Dar., na kuna other sections we know, pia Mombasa has other sections not the only selected picture....aerial view ya Dar yote usiguse, wacha ikae tunaijua vizuri[emoji23][emoji23][emoji23]


Dar.,
[emoji116][emoji116]
 
kwan mombasa ina jipya zaidi ya dongo kundu na mama ngina 😂😂😂 mm mombasa ndio hunidanganyi kabisa budaa
 
dar huiwezi budaa yani go east or west hili nakwambia kabisa ulijue na ulitambue 😂😂
 
Uswazi in the middle of CBD,wahhh,LDC original
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…