Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Deni letu ni dogo sio kubwa kama la kwenu Hakuna nchi ambayo haidaiwi
Hyo hela ya nje bado ni nyingi ukilinganisha na ya ndani, na bado mna aminishiwa km hamukopi eti mnatumia hela za ndani huku deni likipanda tu[emoji1787][emoji1787]
 
How can we believe you for what you are trying to insinuate? Give us more details of the matter!
 
Hyo hela ya nje bado ni nyingi ukilinganisha na ya ndani, na bado mna aminishiwa km hamukopi eti mnatumia hela za ndani huku deni likipanda tu[emoji1787][emoji1787]
Nani kakuambia hatukopi, sisi tunakopa kwa kulingana na mahitaji muhimu tu, kwanza tunahakikisha kwamba nguvu yetu ya ndani inatumika kwa umakini bila ubadhilifu wa pesa zetu, sehemu ndogo iliyobaki ndio tunaenda kukopa. Kenya mnakopa kila mradi, pesa ya ndani haitumiki vizuri zaidi ya mishahara na rushwa.
 
Bwawa la kufua umeme la Ethiopia na Mto Nile inaweza kuleta vita kati ya hizi nchi mbili za Ethiopia na Egypt. Egypt ni kama wamejimilikisha Mto Nile

Tweet ya billionaire wa Misri

other tweets

hii kitu mbaya sana, imagine umejenga bwawa lako kwa matrilioni ya hela afu majamaa hawataki ujaze hilo bwawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…