The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Hahahaha kwahyo mpk ss tunavyoongea kenya haina Toll gate and yet u brag about of having a most developed country in EA[emoji3][emoji3][emoji3]Mko na moja pekee,sisi tutakuwa na zaidi ya kumi tena pana kuliko hako ka kigamboni,11km elevated,kitu tz haitawahi pata,hahaha
8 ni chache sana,,expressway iko na hadi 16 double ya hio kibahaTuko na Kubaka 8 lane Highway.
Aisee Jiwe ni namba nyingine.
kwani sgr ni nini? ni just kuongeza speed tu ya train nothing elseTrain ya sgr ilikuwepo kwani
Kwa aina ya wateule wa Rais wa kuongoza mashirika ya biashara hakuna faida itapatikana tofauti na kipindi cha Jk alikuwa anawateua watu wenye mlengo wa biashara na wazoefu wengine aliwatoa nje ila sio hao mnaowatoa kwenye nyuo kuja kuimba pambio tuuEthiopia Airways ni biashara ya Serikali, kampuni la simu za mikononi kubwa kuliko zote huko Ethiopia ni kampuni la Serikali, kwa mwaka hundengeneza faida ya zaidi ya $7B. Serikali ya Qatar hupata zaidi ya $100B kutokana na biashara za Serikali.
kwani unasubiri iseme au unaona vitendo? nssf ni shirika binafsi au? magereza je? saizi magereza na taasisi kama polisi eti nao watasajili kampuni za ujenzi na ulinzi,sasa hii ni nini? hiyo ni mifano michache tuuwapi serekali imesema inafanya biashara hebu tuanzie hapo
Cyclists are not our priority at the moment. We want to have an efficient mass transit system in the city, which by the way you do not have 😬 I bet hata mkijenga public toilets mtaita Nairobi is the most beautiful city in Africa. Ukenya ni tabia aisee.When this project is done, Nairobi will be the most beautiful city in Africa. I know Tanzania will copy.
View attachment 1476156
Hapa zinapita matatusNairobi. Expansive streets. Beautiful
View attachment 1476520
Kaburi lenu.Duh!!mturuki kiboko, dude limekaa km kaburi vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wapoko mnaona hii expressway venye itakuwa supuu,,dar will never have such kind of road,si tuko level ya Europe
View attachment 1476500
Hatareeeeeehii sehem sio hata CBD hapa Dar
View attachment 1476633View attachment 1476634View attachment 1476635View attachment 1476636
Na hii ya kuingia airport itaitwaje?Hahahaha kwahyo mpk ss tunavyoongea kenya haina Toll gate and yet u brag about of having a most developed country in EA[emoji3][emoji3][emoji3]
Haiwezi kuwa,just few towers along one street, behind them uswazi,hahahahii sehem sio hata CBD hapa Dar
View attachment 1476633View attachment 1476634View attachment 1476635View attachment 1476636
Hata mitaani Arusha kunayoEishh..copying what? this kind of bricks have been in Tanzania as long as i can remember VETA used to teach juakalis to manufacture them!
Mzee wa 'Bilateral'....
Infact sub sahara kwenye future sisi tutakua tunakimbizana na South Africa....sio mbali sana kutoka sasa....Haya uliyoyaandika ndio huwa nawaambia Wakenya ambao wanakazana kupost majengo humu yasiyo na impact kubwa kwa walalahoi ambao ndio wengi, yn tupo tofauti sn wao wanapost majengo na magari, cc tunapost miradi ya kimkakati ambayo asilimia kubwa inaenda kumgusa mlalahoi, na huu ndio ukweli kwamba Tz ikishakamata usukani itakuwa ngumu sana kufikiwa na nchi yoyote hapa EA kwasabu mazingira ya kiitikadi huku kwetu yapo vzr, hakuna udini wala ukabila, tofauti na wenzetu, cc tulihitaji mtu shupavu asiyeendekeza siasa ili atuamshe na tumempata, so jirani zetu wategemee Tz kutawala ktk nyanja zote za kiuchumi miaka michache ijayo.
Hapo mkenya Haruhusiwi kuishi wala kukas...ni kwa Wadosi1[emoji23][emoji23]
When this project is done, Nairobi will be the most beautiful city in Africa. I know Tanzania will copy.
View attachment 1476156
AsanteTulishafanya Zamani hii. Au kwa sababu rangi tofauti?
View attachment 1476661
View attachment 1476662
View attachment 1476663
View attachment 1476664
View attachment 1476665
View attachment 1476666
View attachment 1476667