Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwaiyo wala usishangae kuona aya mavitu ....na hatuna haja y kupost dealership apa ukitaka katafut ukikos ntakuletea.....usituambie maswala y kuingiz vitu used wakat nyie mnaongoza ..hata mavifa yenu ya jeshi ni used poor you plus stupid giiiidiiiipiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1475973View attachment 1475974View attachment 1475976View attachment 1475977View attachment 1475975View attachment 1475980View attachment 1475979View attachment 1475981
 

Attachments

  • Screenshot_20200611-215651.jpg
    89.4 KB · Views: 23
  • Screenshot_20200611-215617.jpg
    44.8 KB · Views: 21
Hahaa!!mnapumbazwa tu
 
Deni la Kenya kwa China ni ,,US $6.5bilions...sasa hivi bandariya Mombasa inafanya kazi kupitia Mwongozo wa Uchina..
We hata loan basi unajua watu hulipaje[emoji1787][emoji1787]
Kuanzia $1bln unafikiria unalipa baada ya mda gani..
Kweli mapimbi ni mapimbi tu
 
Hili ni jengo la kipekee Duniani, Uyu Archtect ni shikamoo, liko very unique...naamini hizo taa zitakazovungwa ndani zitaenda kufanya jengo ling’ae kma Tanzanite usiku.
Jengo la kipekee duniani[emoji1787][emoji1787]labda chato..
Yani concrete alafu uekeze vioo juu na kando ndio liwe jengo la kipekee duniani
 
Honestly, this thing looks ugly[emoji23][emoji23], kama factory flani hivi., is that a train station ama ni glass all round inawafurahisha., this thing looks ugly for real! Weka inside design nione, maybe it will save face.
Inakaa nyumba ya snail[emoji1787][emoji1787]
 
Ethiopia Airways ni biashara ya Serikali, kampuni la simu za mikononi kubwa kuliko zote huko Ethiopia ni kampuni la Serikali, kwa mwaka hundengeneza faida ya zaidi ya $7B. Serikali ya Qatar hupata zaidi ya $100B kutokana na biashara za Serikali.
 
swala la Tanzania kufungua utalii mapema imewauma sana wakenya. Ni wakenya hawa hawa waliipressurize serikali yako kufunga anga, ila ni hawa hawa tena wanaipressurize serikali yao ifungue anga ili kuruhusu watalii kutua. mim nashauri tutengeneze PR videos nyingi hasa kwa hizi ndege kubwa zitakazoanza kutua tar 16, ninaamin zitasambaa sana
 
Ethiopia Airways ni biashara ya Serikali, kampuni la simu za mikononi kubwa kuliko zote huko Ethiopia ni kampuni la Serikali, kwa mwaka hundengeneza faida ya zaidi ya $7B. Serikali ya Qatar hupata zaidi ya $100B kutokana na biashara za Serikali.

huyo boya tu achana nae.. mbona kampuni nyingi za China ni state-owned na ndo zinafanya miradi mingi Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…