Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Investors wa majengo mengi nairobi ni wageni na hilo halina ubishi😀😀😀
Investors wengi ni wageni. Majengo yamejengwa ili kupeana nafasi za ofisi. ulikuwa unataraji waje wafanye kazi kwenye nyumba za kiswahili???
 
Nairobi: The Eco-City
DCByhuIUMAAd31n.jpg
 
Is britam owned by a kenyan????? Serious😀😀

Here is the BRITAM ownership structure and as you can see it is owned majorly by Kenyans. Notably, Benson Wairegi and James Mwangi through holding companies and also with some shares under their own names.

Kumbuka pia imo kwenye soko la hisa la Nairobi

British American (Kenya) Holdings Limited 452,504,000 23.34%
Equity Holdings Limited 405,000,000 20.89%
Jimnah M. Mbaru 200,300,100 10.33%
Benson I. Wairegi 100,398,400 5.18%
Kenya Commercial Bank Nominees A/C 915B 96,959,585 5.00%
Peter K. Munga 75,000,000 3.87%
James N. Mwangi 75,000,000 3.87%
Co-op Bank Custody A/C 4012 60,000,000 3.10%
Filimbi Limited 58,453,600 3.02%
Royal Ngao Holdings Limited 36,330,988 1.87%
1,559,946,673 80.47%

20.53% is held by other investors on the Nairobi Securities Exchange.

Kweli ama ni ujinga wa Tanzanians. Uliskia jina British American Investments ukafiri kwamba si ya wakenya 😀 .. LOL
 
What is that????? Go read about mwanza and saanane island nationa park punguza upuuzi
😀😀😀😀😀😀
Hizo dharau ndizo zinawafanya mufe maskini
who the hell knows about mwanza in this world????? apo Mabatini mtu mgani atatamani kuja? and we are a middle class country remember so umaskini wetu hauwashindi watanzania
 
who the hell knows about mwanza in this world????? apo Mabatini mtu mgani atatamani kuja? and we are a middle class country remember so umaskini wetu hauwashindi watanzania
Middle class ya kwenye karatasi sio uhalisia
😀😀😀😀 mabatini kuna nyumba za block sio nyumba wanaoishi wakazi wa kibera nyumba za mabati utasema nguruwe ndio wanaishi
 
Middle class ya kwenye karatasi sio uhalisia
😀😀😀😀 mabatini kuna nyumba za block sio nyumba wanaoishi wakazi wa kibera nyumba za mabati utasema nguruwe ndio wanaishi
unaweza linganisha Kibera ya 2017
DAWIsm_XgAAlOV6-1.jpg
na Mabatini
download-10.jpeg
tumia akili
 
Back
Top Bottom