Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

alafu mi uwaambiaga... jengeni miundo mbinu kwanza kisha wawekezaji wakiona mandhari mazuri ya kuja, watajitokeza tu. kisha angalia wakati Nairobi ikipanda ,,, dar inazidi kuenda chini. serikali yenu sijasikia inajenga tower nyingine. meanwhile Nairobi bado hatujatosheka na highways.
 
Ichoboy unipee architectural design kama hii Tz naimba jinaako hadi kesho asubuhi kumbuka ni made 1970's
0aa2c244957e051bd34ebc531764a34e.jpg
Hio upuuzi gani unanionesha
 
Hahahhahaha private inamaanisha more buildings of nairobi are owned by investors 😀😀😀😀😀
Na niliwah kukwambia buildings nyingi nairobi zinamilikiwa na investors
so private changed its meaning???
you are right. investors wanaweza kuwa waKenya wenyewe. Kenya is a capitalistic country. Ujamaa ni backwardness
 
Back
Top Bottom