kikihboy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,812
- 3,168
Pole sana just forget abt itLet's just be frank, how times have you asked me the same question?
Alisikika mlevi moja toka kunya kwa jelous yakeHonestly, this thing looks ugly, kama factory flani hivi., is that a train station ama ni glass all round inawafurahisha., this thing looks ugly for real! Weka inside design nione, maybe it will save face.








.....ukiskia mtu kalia ujue limempata...vumiliaTabia zako km amnazo...una argue km mtot..ww subir wenzako walibe km kawaida yenu na kwenda kutamb nalo nairaland ....Kitu ugly inakuuma sana! Unalia liavumilia, kua mpole., weka trains nazo ama hazijafika
![]()


Infrastructure ipi unazungumzia....???sewage ama? Unaeza kueendesha kutoka katikati ya nchi mpaka Turkana kwa lami,?What are you catching up on? The economic gap keep on widening. Our education system is superior than yours, we have better infrastructure than you. So tell me, which gap are you reducing?
At First sight i thought airport ni kiwanda.Hizo barabara zikija kula BRT itakuwaView attachment 1472220View attachment 1472221View attachment 1472222
Utajua siku ukimkuta Mchina pale akiwa anaongoza...na Mkenya alivyo mnyonge kwa colonizers...ni Bakora tuuu...km ambavyo uwafanya.Kakwambia ni nani?, CCM ama fikra zako binafsi?
![]()
Kama render yani
Ile Northern Corridor, ilikaliwa Nairobi na Mlevi.Meter Gauge..revival project 85% complete..Dar to Isaka..hapa Treni za Mzgo zitaweza kwenda upto 70km/hr..so..Isaka-Kigali SGR inaweza tangwazwa tenda...na bado efficiency itakuwa kubwa..wakati SGR inamaliziwa pole poleView attachment 1472254
Naihifadhi hii, ntajakukumbushaKichinjio hikieti train station
wacha ningoje train za umeme tu, hapa kwa stations mlichemsha kitambo
next one?
Ethiopia yenyewe haina Chakula cha Kumtosha... kusema wanakimbilia kule ,ni kupima Mafuriko na Mguu.....Thubutu...hii mvua ya juzi imesomba madaraja ndo maana yale majigambo yao ya kufuata chakula Ethiopia yameishia mfukoni!
Wafunge mara ngapi ...huoni hata opinion yke km anaongelea miguni..bure kbsa awaIkishakamilika ndo mtafunga midomo yenu hiyo Ila wivu wenu huo utawasumbua sana
Kenya inakaribia morroco kwa GDP lakini sasa on the ground vitu ni mbingu na ardhi...kweli gdp ni mavi ya mbuzi
Utafikiri mistari ya contourSouthern bypass
View attachment 1472183
Sidhani, 61M to 2000M?
Kenya inakaribia morroco kwa GDP lakini sasa on the ground vitu ni mbingu na ardhi...kweli gdp ni mavi ya mbuzi
Ni Percent ngapi kutoka 61M kwenda 2000M.Sidhani, 61M to 2000M?