Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naivasha icd now bizy
naivasha.png
ANv1geo.jpg
 
Infrastructure ipi unazungumzia....???sewage ama? Unaeza kueendesha kutoka katikati ya nchi mpaka Turkana kwa lami,?
Remember Kenya has 20,000km of tarmaced roads compared to Tanzania`s 6000km. Turkana has high quality roads than Dar.
 
Ni Percent ngapi kutoka 61M kwenda 2000M.

Hint;
50% ya 61M ni 30.5M pekee. Sasa kama unaongelea 2000M ni % ngapi nyingi sanaa


Sent from my SM-A520F using JamiiForums mobile app
Uko sawa kabisa chief, Nafikiri nlichochanganya ni sentence, nachomaanisha hapa ni tulichokua tunapoteza kufikia 2B. So siizungumzii asilimia ya tulichokua tunakipata bali ya tulichokipata. Tukitumia over 61M ni asilimia kubwa sana
 
Quality and quantity are two different items. Ulienda shule gani wewe? Nimekuambia Tanzania has 6000km of paved roads.
Anha naona umekubali quality ni sawa sasa twende paved ...paved tupo 13k-roughly hata 15k tunaweza kuwa tumefika..kubali ,kataa ,lia ,garagara ngata kucha..garagara .....we clocked 10k in 2018..tuna add kama 500km of paved roads annualy..so we might be around 12k to 13 ..kma unaamini sawa ..kama hauamino its non of my Business mm nakupa source

Jumuuisha 8300+1500 hio 2017-2018 tanroads
Screenshot_20200608-235018.jpg
 
Nyie mumeshinda ata Zambia kwa GDP lakini mko ovyo kishenzi aibu EAC na SADC., Dar tu ndio inajaribu kuficha uchi kwa mapicha, but kwa ground vitu ni different. Idleness na poverty ndio wimbo
Kenya inakaribia morroco kwa GDP lakini sasa on the ground vitu ni mbingu na ardhi...kweli gdp ni mavi ya mbuzi
 
Wazee wa express highway , brt with lipstick , sgr with chang'aa machine . Yaani wanasiasa wa kenya wanatumia terminologies kuwa brainwash halafu mnakubali kirahisi . Wazee wa Chinese 1st class. Nadhaa hii ni side effect ya kula githeri kwa wingi
You are a Dick.
 
Anha naona umekubali quality ni sawa sasa twende paved ...paved tupo 13k-roughly hata 15k tunaweza kuwa tumefika..kubali ,kataa ,lia ,garagara ngata kucha..garagara .....we clocked 10k in 2018..tuna add kama 500km of paved roads annualy..so we might be around 12k to 13 ..kma unaamini sawa ..kama hauamino its non of my Business mm nakupa source

Jumuuisha 8300+1500 hio 2017-2018 tanroads View attachment 1472500
Wapi 13k hapo? Shule mlienda kufanya nini lakini?
 
Back
Top Bottom