Huu ndio ule mradi wa bomba la mafuta kutoka uganda mpaka tanga
Ndo huo mkuu EAST AFRICAN CRUDE OIL PIPELINEHuu ndio ule mradi wa bomba la mafuta kutoka uganda mpaka tanga
Paper work kwa upande wa tz imeshakimilika na ujenzi unaanza mwakani.Ndo huo mkuu EAST AFRICAN CRUDE OIL PIPELINE
Campaign period expect many more "projects".
Magu mbn co mwanasiasaCampaign period expect many more "projects".



tulia sindano zipenye💉💉💉😃😃😃Campaign period expect many more "projects".
Hapo safi, haya manguzo ya miti yaendelee kubaki kijijini, huku mijini na kwenye miradi mikubwa waweke zege tu hayo manguzo ya miti yanaharibu taswira, mfano ukute linguzo la mti pale makumbusho yn hai sound kabisa
Tuwapige ban tuuuHii issue inakaribia kupasua ngoma za masikio yangu, inakera sana kwnn tucwapotezee tu, km soko mbn nchi zipo nyingi tu, hasa SADC, cc ndiyo tunaopaswa kuwapima wao mana wao wanamaambukizi makubwa ss iweje turudie zile mambo za kuendekeza utanzania jmn
DC Rombo afunga mpaka na Kenya
View attachment 1470008
Watakufa kwa presha man