Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hatimae tumerudisha ufalme wetu wa tourism hub in East Africa.

*Dar Es Salaam is a key trade and tourism hub in East Africa.*

ukiona wasema tourism hub ujue kuna watalii wanakuja kupitia hio ndege
Ndo mana nkasema kuna neno limechoma watu humu, but ndo jina la ss la Dar, tunaomba radhi kwa lugha iliyotumika Key trade and tourism hub in East and Central of Africa [emoji3][emoji3]
 
Ndo mana nkasema kuna neno limechoma watu humu, but ndo jina la ss la Dar, tunaomba radhi kwa lugha iliyotumika Key trade and tourism hub in East and Central of Africa [emoji3][emoji3]

[emoji38] [emoji38]...waache waendelee na maigizo yao ya Corona...wakija kuamka watakuta ,Tanzania is now:

Power hub
Transportation hub
Food hub
Medical hub
Manufacturing hub
Mineral hub

Of east and central Africa.
 
Mambo yanazidi kupamba moto.
Majirani wanawewesela
Wakati hii battle inaanza Wakenya walidhani tunatania, hata baadhi ya WaTz walikuwa hawakubaliani na ukweli uliopo baina ya Dar ya ss na Nairobi, walikuwa wamekaririshwa kuwa wakoloni walichagua Nairobi kuwa makazi yao na miji mingine ya nchi jirani za EA waliamua kuifanya kuwa mashamba, but now hata wale WaTz waliokuwa upande wa Wakenya wamekaa kimya ila wamebaki kuendekeza usiasa tu lkn ukweli wanaujua kwmb Dar imeipiga bao la mkono Nairobi [emoji3][emoji3] na hata Wakenya wameshagundua hilo wamebaki kulaumiana wenyewe kwa wenyewe, Magu hawatomsahau yn 4 yrs only were enough to make this big gap between the two cities [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Amkeni amkeni bwanaaa....Phase 3 ya BRT leo imetangazwa kutafutwa mkandarasi wake...yaan ni mwendo wa bandika bandua..uku phase 2 inaendelea na tayari phase 3 iko online inatafuta wa kudate naye.

View attachment 1468689

Maninaaa [emoji23]. Finally, sasa subirini hapo Azikiwe pawe BRT bus Stop, ndio nilikua nawaza hapo wanasubiri nini.
 
is this sign board 😂😂😂😂
 
Kujeni muone huyu nugu[emoji23][emoji23][emoji23]
We ndio kumbe hata hujui internet speed ni nn haswa..elimu ya bongo vituko kweli..
 
3gb kwa android phone si nyingi,hivi nyie wakenya mnawaza kwa kutumia ubongo au matako??!!!

Ahaaa nishajua nyie mmezoea wi-fi za kuibia,hamna ubavu wa kununua data
Bwhahahaaa!!rudi kw post ya mwenzako uone kaandika nn[emoji23][emoji23]
Mwenzio kasema android, sasa sijui utamsaidiaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…