Kwamujibu wa Wakenya hiyo nayo inaqualify kuwa interchangeAcheni ubahili tengenezeni vitu vya kisasa co huo uchafu, we huni km huo ni uchafu we jamaa, angalia tofauti[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1466067
Wasubil ingine inakuja pale mwengeKwamujibu wa Wakenya hiyo nayo inaqualify kuwa interchange
siku hzi wanaita interchangeπππKimara - Kibaha yatakatisha madaraja ya juu 7. Hints: madaraja hayo ndio yale ambayo wakenya wanayaita flyover
View attachment 1467274
Niliwahi kukaa apo mwaka 2016 kweli kumeboreshwa sana,back then life was good though so it does better nowLeo tuko sumbawanga
Vidaraja kama hivi ndio kimara - kibaha vinawekwa sabaWtf..tazara Ni Bora Mara 100
Ukiangalia kwa wasiwasi unaeza sema ni render [emoji3][emoji3]Kimara - Kibaha yatakatisha madaraja ya juu 7. Hints: madaraja hayo ndio yale ambayo wakenya wanayaita flyover
View attachment 1467274
Kipindi kile mfugale flyover inajengwa hizo culverts zao zote walizibadili jina na kuziita flyovers, leo Ubungo interchange inawaumiza makalio tena wamezihamishia kitengo cha interchanges πππsiku hzi wanaita interchangeπππ
Neat stuff, Nairobi utafikiri barabara zimetengenezwa na peanut butter πππ
[emoji3][emoji3]Kipindi kile mfugale flyover inajengwa hizo culverts zao zote walizibadili jina na kuziita flyovers, leo Ubungo interchange inawaumiza makalio tena wamezihamishia kitengo cha interchanges [emoji23][emoji23][emoji23]
Utajuaje na hamna?Hiyo Ni interchange?
Mnavyo vingi?? Hebu tuonyeshe tano tuMbona unarudia rudia..picha Ile Ile usiku mchana ...hiyo Ni overpass tunavyo vingi Sana hivyo viuchafu
Huko kwenu vp hali ya covid-19, cc wamebaki wanne tu huku nao nadhani watakuwa washaondoka, vp huko kenya? nchi inaandamwa na magonjwa kibao mpk ya aibu km cholera [emoji3][emoji3][emoji3]Utajuaje na hamna?
ππππ overpass mtu anakwambia flyover mwengine overpass anakwambia interchangeKipindi kile mfugale flyover inajengwa hizo culverts zao zote walizibadili jina na kuziita flyovers, leo Ubungo interchange inawaumiza makalio tena wamezihamishia kitengo cha interchanges πππ
Yeah, leo nimepita hapo nimeona mabango ya upanuzi wa barabaraWasubil ingine inakuja pale mwenge
Hasira peleka Mwananyamala unapoishi kijana. Kama Dar ndio hamna gated communities sasa tanzania nzima ndio zitatoka wapi? Hata mimi naweza kukuletea gated communities in Eldoret, Kisumu na Nakuru. That doesn't mean ziko Kenya nzima. The fact is, gated communities haziko Dar ila Nairobi ziko kila mahali. A bitter pill to swallowhumiliki hata Choo hapo Punguza shobo
Halafu hizo nyumba za kawaida sana gated community zipo Tanzania nzima, maafisa wetu wanaishi kwenye mazingira ambayo ni ndoto kwenu ninyi kufika
Dodoma
Utaonaje na unaishi hapo?Haya hebu nioneshe slum hapo niondoke Jf [emoji3][emoji3]