Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wacha wivu mshikaji! Wapi zilizoandikwa kichina Kunyaland? August unafikiri hizo ni ile mitungi yenu ya chang'aa SGR Kenya?
Refer to your post[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si we uliandika ni kw ajili ya watalii wa nje, wachina hawajui kingereza na wakati mmepanga kuwaleta..

Ndio nauliza km na wao pia mtwatengea za kwao za kichina au vipi
 
wacha wivu mshikaji! Wapi zilizoandikwa kichina Kunyaland? Au unafikiri hizo ni ile mitungi yenu ya chang'aa SGR Kenya?
 
Kakuchua overpass kajumlisha kweny interchange...jmn kweli wakenya ni chenga...mwambieni apost picha km atakubali?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kakuchua overpass kajumlisha kweny interchange...jmn kweli wakenya ni chenga...mwambieni apost picha km atakubali?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
You are late. I have already posted pictures here
 
Wanaita izi ni interchange .[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…