Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbaazi ikikosa matunda husingizia jua. Hii ya investors tumezoea kuambiwa wala si jambo geni humu ndani. Jana nilikuuliza unitajie hao mainvestors ukashindwa. Truth hurts always. Siku moja hata nyinyi pia mtakuwa na hao "investors" angalau mbomoe hizo uswazi zenu muwe nazo nyumba za maana

Dar imejengwa tu pale cbd. Ukitoka hapo utakutana na zile nyumba zenu mnaenzi na kupenda (dream houses) every direction you look. Hizo macages mnatamani sana muwe nazo but unfortunately you ended up with squalors called dream houses all over the place.
 
Jamani wabongo punguzeni kupost picha za hako kacbd kenu Sababu kaeneo ni kadogo sana.Yani hakuna tofauti na kupost picha moja kwa mwezi na kutulia,ili uzi uachekua na page nyingi zenye picha lakini eneo ni lile lile tu....but naweza wasaidia kwa sasa
 
Mombasa yenyewe hatupost lakini kuna maeneo yanazidi hako kamji kwa ukubwa na mbali sana
 
Inaonesha hata ww mwenyewe hupajui [emoji3][emoji3][emoji3]
Sipajui, ka reverse uje utuumbue[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona majibu umeshayapata, sai umebaki na vijembe tu..chunga visije vikakukata tu..

Wenzako wamwkuacha pekeako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…