The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Heheheheheeee kuna mtu aliikimbia hii thread ila baada ya kuona moto umewaka humu akatia pua yake ikakatwa, huyoo kakimbia na hawezi kurudi tena humu, mwengine kuna uzi fulani eti akajifanya mwehu akasema hyo ubungo interchange haifunguliwi kila siku inajengwa, kumbe wkt anaongea hayo mzigo ushaachiwa tukampiga nao aka sarenda, ila kuna mwehu mmoja humu mzee wa mjengo 
anatuzoom af anakausha, mzee wa BRT na mjengo wa maana, mjinga sana 




anatuzoom af anakausha, mzee wa BRT na mjengo wa maana, mjinga sana 




