Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona phase 2 wanaipiga kwa miaka 3 tu.
Wakipewa tender 3 zilizobaki wakajigawa kama walivyofanya phase 2 nawaona wakitumia miaka 3 pia.

Makutupora - tabora
Sehemu korofi ni kwenye bonde la ufa tu kwingine kumenyooka na tambarare.

Tabora - isaka
Hakuna sehemu korofi.

Isaka - mza
Huku nako shwari ila kuna challenge kidogo ukiwa unaingia mza kuna milima, na hii ni endapo watafuata njia ya sasa.
 
Jamaa fulani baada ya kuckia kuna soko tumepata la samaki toka Victoria wakaanza roho mby zao eti wakatangaza samaki wa ziwa Victoria wana sumu, kweli hofu ni ugonjwa mby kuliko Corona[emoji3][emoji3][emoji3]
Europe inahitaji sana samaki kwa sasa ku-beef up their protein supplement t fight risks of coronavirus!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…