Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii unaizungumziaje [emoji116][emoji116]

 
niletee construction board ya ujenzi huo ukipata mm nafunga acc jamii forum mark my words hii sio nairaland usijisahauπŸ˜‚πŸ˜‚

mwenzako wanjala alikimbia hii topic umekuja kuivaa wewe😁😁😁😁😁
 
Sikia ww jamaa, ucje gusa kwenye hilo eneo utaumia hakuna mahali kenya itaweza Tanzania kwenye suala la street roads yn usiguse kabisa, namaanisha nnachosema ucguse mzee, ulizia kitu kinaitwa DMDP yn usicheze kabisa kuna mikeka huku mtaani sema watu humu hawajaamua, ningependa battle inayokuja iwe paved roads za mitaani af tuone km mtaingiza pua, usiguse mzee
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tunasubiri constrution board ya expressway kwa hamu zote
 
niletee construction board ya ujenzi huo ukipata mm nafunga acc jamii forum mark my words hii sio nairaland usijisahauπŸ˜‚πŸ˜‚

mwenzako wanjala alikimbia hii topic umekuja kuivaa wewe😁😁😁😁😁

Kelele tupu.
Plaque ya rais ndio board. Hii sio barabara ya kijiji.
Nikipata board zingine nitakupa nikitembea huko.


Section zisizo za juu zishaanza.



Aanza kusave nauli kuja kuona ulaya hapa Nairobi.
Ikikamilika itakaa hivi.

 
[emoji3][emoji3][emoji3] naskia ana mpango wa kuagiza meli ya uvuvi bahari kuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…