Bwahahaa!!aisee kweli hata fikra zenu ziko nyuma miaka 100 kma vile mchina alivowafanya kwenye reli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi zina waiting lounge, au ilkuwa hujui[emoji23][emoji23]Haya majamaa ni yanaakili za kitumwa sn, hv kweli kwa nchi zetu hz usiwe na stand kweli inaingia akilini hyo, kumbe ndo mana wakenya huwa wanakunya kwenye vichaka, hebu jenga picha mfano mdogo tu mtu unasafiri km 300 af hakuna stand na basi za kenya nadhani mnazijua.
Tofauti kubwa kati yangu na wewe ni kwamba mimi nakupa official source kutoka WB wewe unanipa source uchwara zisizo na kichwa wala mkia tena za kuokota [emoji23]Unachosema ni ujinga. Sababu hata marekani kuna watu wanaishi vibaya kuliko watu Somalia.
Data zote zinaonyesha Tanzania mko pabaya. Africa mnakimbizana na DRC, Nigeria na Ethiopia kwa umaskini.
View attachment 1455620
View attachment 1455621
Btw mnahitaji highway kama izo zaidi imekuaje miaka 10 baada yakuanza kutumia thika highway hamjajenga nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
And What about Mombasa ..mbona mmechukua mda mrefu sana kujenga...na nyie mna mna uchumi mkubwa ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti kubwa kati yangu na wewe ni kwamba mimi nakupa official source kutoka WB wewe unanipa source uchwara zisizo na kichwa wala mkia tena za kuokota [emoji23]
Wewe ni zero kama hizo zero kwa ID yako [emoji23]
Inauma ila mtabidi mzoee tu [emoji23]
Tanzania’s Path to Poverty Reduction and Pro-Poor Growth
Ni wapi Tanzania wanapewa misaada ya chakula Karne hii?Hizo charts ni summary ya data kutoka WB, IMF na organization zingine.
Leta data ya Tanzania kama uliyoleta ya Kenya.
Kusema Kenya sio nchi maskini ni kudanganya.
Lakini kusema Kenya ni maskini kuliko Tanzania, pia ni kudanganya.
Barabara za maana ni izo bypass tu apoUjenzi wa barabara hujawahi acha Nairobi.
Ni ile excitement ya kwanza ya Thika road ilipungua na zingine hazipewi publicity kama ya kwanza.
Outering rd
Ngong road
Parkroads
Redhill
Upperhill
Southern bypass
Northern bypass
Greater western bypass
JKIA - Westlands
Zote ziko Nairobi na zote zimejengwa baada ya Kibaki kuondoka. Google utafute picha zake.
Ni wapi Tanzania wanapewa misaada ya chakula Karne hii?
Ni wapi Tanzania wanapika mawe?
Unataka data gani tena na wakati nimekupa link kutoka WB na unajifanya huioni!
Tanzania’s Path to Poverty Reduction and Pro-Poor Growth
Walifanya makosa na wala hutosikia hao jamaa wakijisumbua kujenga huo ujinga tenachina [emoji116][emoji116][emoji116] muko nyuma miaka 100
USA
dubai
india
london
Zote ni za maana na zimepunguza traffic maeneo yake.
Mbn haueleweki mara useme mnayo 3 level mara hamuhitaji, ww jiamini na useme kwamba mnayo 3 level interchange af cc tuanze kukuhoji utuoneshe mahali ipo iyo 3 level na mlitumia technology gn mkaijenga kwa haraka hvyo [emoji3][emoji3][emoji3]Thika road at Pangani is already a 3 level interchange. 10 year old road.
Alafu, you only build what you need. We can't go building '3 level interchanges' when we don't need them.
We mtu bado upo tuKitu kinaenda faster
UBUNGOView attachment 1455523View attachment 1455524View attachment 1455525
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ngonjera bakisha huko huko sina haja nazo,Kenya misaada ni ya wanaoishi kaskazini mwa nchi - jangwani. Wafugaji wanyama wanaohama hama.
Culture yao ndio makosa, na wamekataa kuishi pahali pamoja ili wajipange kiukulima na kikazi.
Lakini vile vile, statistically average ya wakenya wote ikifanywa. Na average ya watanzania wote, Tanzania imepatikana kuwa more malnourished ama undernourished.
Yaani watanzania wengi wanalala njaa ama hawashibi, kuliko wakenya.
Kenya media yetu ni huru. Ina uhuru wa kutangaza mabaya ya nchi. Kwa hivyo kesi za njaa zitaonekana kuwa mingi.
Tanzania hakuna media huru.
View attachment 1455647
Leta hapa hyo interchange tuione hii co nairaland [emoji3][emoji3][emoji3]Nilichosema ni kwamba interchange mnayosifia sasa ilijengwa Pangani, Nairobi 10 years ago.
Mradi unaojengwa sasa hivi wa JKIA to Westlands pia unaongeza '3 level interchange' mbili.
[emoji3][emoji3][emoji3] likoni vpKenya sio nchi ya maziwa makuu. Maeneo ya kuvuka mapana sio mengi.
Bridge kubwa na ndefu hata miaka 100 mtakuwa nazo mingi sababu ya geography.
Usijali tunakujengea Brooklyn Tz kwa jina la Kigongo busisi [emoji3][emoji3]Barabara ya Thika ilijengwa kutufaa kwa miaka mingi. Capacity yake bado.
Vile vile daraja la Brooklyn New York bado liko poa leo, miaka zaidi ya 100 baadaye.
Huo ndiyo uhalisia, kenya ni nairobi pekee, ila Tz maendeleo zaidi ya mikoa 10 ss utafananishaje hapoHizo charts ni summary ya data kutoka WB, IMF na organization zingine.
Leta data ya Tanzania kama uliyoleta ya Kenya.
Kusema Kenya sio nchi maskini ni kudanganya.
Lakini kusema Kenya ni maskini kuliko Tanzania, pia ni kudanganya.