Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania ina viwanda vipi sasa???basi warudisheni hao wakenya makwao mwachukue hawa omba omba wenyu wamejazana kila corner ya kenya muwapee hizo makazi wamekua kero huku...sidhani hao wakenya wanazihitaji izo makazi sana kama hawa omba omba wenyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama ni omba omba wa tanzania mbona hamuwarudishi sasa munatuletea siasa za kikabila hapo watu wenu wenyewe alaf munaichafua tanzania kwani hatuwajui nyinyi, la labda nikupe taarifa wakenya wanaofanya kazi tanzania ni wachache sana ukieinganisha na awamu zilizopita, magufuli aliwafagia wote
 
Ila sitaraji uwakubali watanzania wenzako kwa kuishi in denial nani hawajui....nchi ya maziwa na asali ila wananchi wenyu wanateseka kwenye nchi zingine wakiomba omba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenzio hiyo Simu kibera yote inamsujudia kuwa yeye ni babu kubwa hapo ana washangaa nyinyi kumcheka kwa Kenya kumiliki Simu kama hiyo wewe ni pedejee

Send by APOLO 1
Sasa wanaume wazima mumekaa mkijadili simu ya mwenzio kwenye jukwaa la great thinkers...watoto ndo mmejaa hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unawapatia sn, huwa najiuliza wanaposema omba omba wa Tz huko kwao Kenya huwa wanamaanisha nn, yn wakenya walivyo na roho mby wawaache WaTz wachafue majiji yao, mbn madereva wamewarudisha wkt wanawasaidia kuwapelekea chakula ndo itakuwa Bergers, hao ni ombaomba wa kenya wasilete ufala wao hakuna mtz anayeweza kukimbia Tz aende kenya kuomba wkt anajua wakenya wana roho mby pia wanashida mingi.
 
Ubongo wako umejaa funza,hata kibera akili yako inakuambia ikoa Tanzania
 
Ubongo wako umejaa funza,hata kibera akili yako inakuambia iko Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…