G
guest-1787677467
Guest
Kuna siku naenda Mbeya nimepanda V8 jamaa wametupita Nyororo sisi dereva ana 80 inawezekana wao walikuwa na zaidi ya 100 na hatukuwakuta tena. Newforce Mbele Sauli nyuma ni mwendo wa mbio tu na overtaking za hovyo. Yaani Malori na mabasi au magari yanayokuja mbele yao.ndio yanatakiwa yakae pembeni na yawapishe ili wao wapite. Ile halo ilituuzi tukaenda wakuta pale cheki point ya uhamiaji Makambako. Tutasimama na kuwashtaki kwa Polisi pale na kimsingi tulitaka tuwalambe fimbo wale madereva.Golden deer na New force nadhani mmiliki wake ni shemeji ya mkubwa Fulani huko LATRA..
hizi Basi zinaenfeshwa rafu lkn hakuna RTO anayethubutu kuyakemea.
ma RTO Moro, Iringa, Mbeya, songe semeni ukweli, mmiliki hua anawaona Mara kwa Mara!
Binafsi, naona watu wanaopanda hizo gari za newforce au Sauli ni Wehu. Mtu mzima mwenye akili timamu hawezi risk maisha yake vile. Magari yanakimbizwa hovyo, hayana overtaking zuri. Ulikutana nayo yanashuka kitonga mpaka unashangaa. Hii nchi bwana, inatia uchungu watu wanapoteza maisha na wahusika wapo wanaangalia tu. Very painfull.