LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,717
- 13,439
Jana nilileta uzi hapa kuhusu huyu bwana aachane na ligi baada ya siku nne nyuma gari lake moja kupata ajali mbaya Morogoro, juzi tu nikashauri arudi njia kuu madereva watamfilisi ila nikaonekana mchonganishi
Muda huu leo gari lingine limedondoka Mikese sasa hivi
--------------------
Taarifa zilizotufikia hivi punde, zinaeleza kuwa basi la Kampuni ya Mabasi ya Katarama, limepata ajali mchana wa leo, Aprili 25, 2026 katika eneo la Mikese mkoani Morogoro.
Chanzo: Global TV