Basi la Kampuni ya New Force lapata ajali na kuua watu watano

Basi la Kampuni ya New Force lapata ajali na kuua watu watano

Ajali mpya leo asbh Bado siku haijaisha 22/06

1:Newforce
2:Kilimanjaro express
3:Rungwe express
 
Kwani tochi za barabarani za polisi zina kazi gani?
Hata sisi abiria kuna mda tunawaendekeza hawa watu na tunabaki kuwalaumu usalama barabarani,gari iko mwendo kasi polisi anaingia anaongea vizuri anauliza hali ya mwendo,karibia abiria wote wanasema mwendo unaridhisha anawakumbusha kuhusu kupiga simu ikiwa kuna uvunjaji wa sheria za barabarani,abiria wao wanawaza kufika
Ikishatokea ajali lawama zinaanza,sasa wale watu mlitaka wafanyeje?

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
 
Zifutwe afu watu wale wapi?

Ajali ni bahati mbaya tu
Akili zako hazina akili..

Usifwate sheria a barabarani zen useme ajari n bahati mbaya?

Overspeed, overtake kwenye kona, mashindano yasio na tija zen useme ajari n bahati mbaya?
 
Back
Top Bottom