Basi la Kampuni ya New Force lapata ajali na kuua watu watano

Basi la Kampuni ya New Force lapata ajali na kuua watu watano

Naona video yake hapa hakika inasikitisha sana yaani.

Nimeona pia wananchi au wadau wa usafiri wanailalamikia @LatraTZ kuwa wanaziandama basi flani za ukanda wa ziwa na kusahau njia nyingine wakidhani ajali ni kwa njia ya Mwanza tu.
 
Ajari imetokea wapi mkuu? So sad dah😭
 
Mungu awalaze mahala pema peponi na majeruhi wote Mungu awasaidie wapone harama ila hizi ligi sijui zinatupeleka wapi maisha ya mtu ni muhimu zaidi kuliko kuwahi kufika.
 
Kwenye Ile video nimeona mkono wa mtu ukiwa umechomoka kama mdoli...........

Mungu awatie nguvu majeruhi na awalaze pema waliopoteza ndugu zao......

Hawa watu wanakimbia utadhani wamebeba ng'ombe vile.......

Niliwahi kupanda New force naenda Tunduma nikashukia Ilula.....nilikuwa naona kabisa uhai wangu ukiwa rehani......nikasema pesa zinatafutwa....
Kufa tutakufa tu mkuu
 
Golden deer na New force nadhani mmiliki wake ni shemeji ya mkubwa Fulani huko LATRA..
hizi Basi zinaenfeshwa rafu lkn hakuna RTO anayethubutu kuyakemea.
ma RTO Moro, Iringa, Mbeya, songe semeni ukweli, mmiliki hua anawaona Mara kwa Mara!
 
Naona video yake hapa hakika inasikitisha sana yaani.

Nimeona pia wananchi au wadau wa usafiri wanailalamikia @LatraTZ kuwa wanaziandama basi flani za ukanda wa ziwa na kusahau njia nyingine wakidhani ajali ni kwa njia ya Mwanza tu.
Weka video.
 
#HABARI: Watu watano wamefariki huku wengine wakijeruhiwa, baada ya basi la kampuni ya New Force, lenye namba za usajili T 173 DZU, kuanguka wakati likijaribu kulipita lori, kisha kupoteza uelekeo na kugonga daraja katika eneo la Kijiji cha Igando kilichopo wilayani Wanging'ombe mkoani wa Njombe.
.
Kwa taarifa zaidi endelea kutufuatilia.

#ITVUpdates
Pole ziwafikie wafiwa na majeruhi nawaombea afueni ya haraka!

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Kilimanjaro ya kishua Sana,
Kama Kobe vile, haihitaji haraka[emoji4]
Yule jamaa ukikimbiza gar huna kazi

lakin hua anamoja hiyo ya asubuhi ndo inaruusiw kukimbizana na BM pale Arusha na ni ile ya zaman plate no A
 
Back
Top Bottom