Basi la Kampuni ya New Force lapata ajali na kuua watu watano

Basi la Kampuni ya New Force lapata ajali na kuua watu watano

Hiyo midude inakimbia yaani ukipanda roho mkononi?!

Kuna lile lijamaa linaitwa minyama au (Ndugu abiria) na mwingine wa Sauli anaitwa Titho wajinga wanakanyaga moto mpk unaacha wosia kimoyo moyo [emoji24][emoji24]
Harafu mapolisi Kwa nini walitoa utaratibu wa kubandika namba zao kwenye Mabasi Ili tuwe tunawaripoti maderva wenye fujo?
 
Hivi WaTz tuna utu kweli? Unaugusa mkono wa binadamu mwenzio kwa kiatu? Unajidai una masikitiko!
Hata Mimi nimimshangaa,Polisi wlioiga marufuku kurekodi video ambazo hazina Staha,waliorkodi na kusambaza washughulikie..

Kwenye habari kama video Zina ukakari Huwa wanatoa tahadhari tena baada ya editing
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Kuna siku naenda Mbeya nimepanda V8 jamaa wametupita Nyororo sisi dereva ana 80 inawezekana wao walikuwa na zaidi ya 100 na hatukuwakuta tena. Newforce Mbele Sauli nyuma ni mwendo wa mbio tu na overtaking za hovyo. Yaani Malori na mabasi au magari yanayokuja mbele yao.ndio yanatakiwa yakae pembeni na yawapishe ili wao wapite. Ile halo ilituuzi tukaenda wakuta pale cheki point ya uhamiaji Makambako. Tutasimama na kuwashtaki kwa Polisi pale na kimsingi tulitaka tuwalambe fimbo wale madereva.

Binafsi, naona watu wanaopanda hizo gari za newforce au Sauli ni Wehu. Mtu mzima mwenye akili timamu hawezi risk maisha yake vile. Magari yanakimbizwa hovyo, hayana overtaking zuri. Ulikutana nayo yanashuka kitonga mpaka unashangaa. Hii nchi bwana, inatia uchungu watu wanapoteza maisha na wahusika wapo wanaangalia tu. Very painfull.
Kabisa Mkuu ,dawa ya hao ni kuwasagia kunguni watu wasipande.
 
Kwa newforce wamcheki meneja wao. Huyo meneja nasikia anawahimiza madereva kuwahi. Hili nilisikia mwenyewe ktk story za madereva.
 
Basi kampuni ya mwekezaji kutoka China, New Force/Golden Deer imepata ajali na kuua watu kadhaa.

Wakati ajali hiyo inatokea ndani ya mwezi huu itakuwa ajali ya 3 kwa kampuni hiyo baada ya last week kupata pia ajali maeneo ya Morogoro.

Chanzo ni mwendo wa mashindano.

======

Kamanda wa Polisi, Kamishna Msaidizi wa Polisi, ACP John Makuri amethibitisha tukio la ajali mbaya iliyotokea katika Eneo la Igando Wilaya ya Waging'ombe ikihusisha basi la NewForce lililokuwa linatoka Dar kwenda Sumbawanga.

Kwa mujibu wa Kamanda Makuri, bado idadi kamili ya Vifo na Majeruhi haijajulikana na kwa sasa bado wapo eneo la tukio huku Majeruhi wakipelekwa Hospitali ya Kanisa ya Ilembula

======

Watu watano wamefariki huku wengine wakijeruhiwa, baada ya basi la kampuni ya New Force, lenye namba za usajili T 173 DZU, kuanguka wakati likijaribu kulipita lori, kisha kupoteza uelekeo na kugonga daraja katika eneo la Kijiji cha Igando kilichopo wilayani Wanging'ombe mkoani wa Njombe.
 
Attachments

  • 00367D04-B3C8-4416-955F-547285552765.jpeg
    00367D04-B3C8-4416-955F-547285552765.jpeg
    10.3 KB · Views: 13
  • B5A0317E-4352-46B5-B6F9-4D314C696AA0.jpeg
    B5A0317E-4352-46B5-B6F9-4D314C696AA0.jpeg
    66.1 KB · Views: 12
Kwani hiyo haikimbii mwendokasi?

Ina mwendokasi vile vile.

Kwa route za Dodoma Dar mabasi yenye mwendo wa kawaida wa usalama ni Kimbinyiko, nasikia na ABC though sijawahi kuipanda uthibitisha kama ni kweli.
Lakini Kimbinyiko madereva wake wamejaa subira na wako royal.
Kimbinyiko, ABC na Shabiby kweli zinatembea kistaarabu.
 
Kuna siku naenda Mbeya nimepanda V8 jamaa wametupita Nyororo sisi dereva ana 80 inawezekana wao walikuwa na zaidi ya 100 na hatukuwakuta tena. Newforce Mbele Sauli nyuma ni mwendo wa mbio tu na overtaking za hovyo. Yaani Malori na mabasi au magari yanayokuja mbele yao.ndio yanatakiwa yakae pembeni na yawapishe ili wao wapite. Ile halo ilituuzi tukaenda wakuta pale cheki point ya uhamiaji Makambako. Tutasimama na kuwashtaki kwa Polisi pale na kimsingi tulitaka tuwalambe fimbo wale madereva.

Binafsi, naona watu wanaopanda hizo gari za newforce au Sauli ni Wehu. Mtu mzima mwenye akili timamu hawezi risk maisha yake vile. Magari yanakimbizwa hovyo, hayana overtaking zuri. Ulikutana nayo yanashuka kitonga mpaka unashangaa. Hii nchi bwana, inatia uchungu watu wanapoteza maisha na wahusika wapo wanaangalia tu. Very painfull.
Hawa jamaa kosa kubwa ni kuona gari lingine lipo mbele yao,

Ni lazma waovertake kwa namna yeyote na wakiovertake yule wa mbele ndo apunguze speed ila sio wao hawapunguzi speed.
 
Kwani hiyo haikimbii mwendokasi?

Ina mwendokasi vile vile.

Kwa route za Dodoma Dar mabasi yenye mwendo wa kawaida wa usalama ni Kimbinyiko, nasikia na ABC though sijawahi kuipanda uthibitisha kama ni kweli.
Lakini Kimbinyiko madereva wake wamejaa subira na wako royal.
Haikimbii sana..hata route ya Mbeya pia iko kawaida...ndo bus zangu napanda kutokea Dom
 
Rama Tunduma Dar hiyo, jamaa niliwahi mfuata akiwa speed sanaaa, nilipomwambia apunguze speed Kuna jamaa wakawa wanampa kichwa kuwa aendelee kuipa moto, nikamwambia "kaka kuna wakati hizo kelele za wanaokushangilia hautaziona, utawajibika peke yako"

Alijifanya kukaza na kuongea maneno meeengi lakini alipunguza fujo kwa kiasi kikubwa sana!

Wakati fulani abiria wanachangia sana hizi ajali, either kwa kukaa kimya au kwa kushangilia madereva wanapokwenda

Na ana mdomo mchafu huyo kaka[emoji119][emoji119]
 
95% ya ajali za Kiafrika ni uzembe, uzembe, uzembe, uzembe na ujinga.
Ajali zipo Dunia nzima, ila mostly Private cars, ila unapoendesha public vehicle lazima displine ya Hali ya juu katika uendeshaji, Sasa unaovertake kwenye daraja, bila kuwa na tahadhari, huyu dereva ni WA hovyo sana, unawahi wapi Wakati kazi yako ni kuwafikisha watu salama!?
 
Vp si kuna ligi ya mabasi huko barabarani
Sihuwa mnabet huko pia
Endeleeni kubeti,endeleeni kukimbiza
Mabasi yenu

Ova
 
Mchina kashapigwa kipapai..ajali ya 4 au 5 ndani ya mwezi mmoja.Ila hao madereva wanawatia sana hasara wawekezaji imagine karibu bilioni moja inateketea ndani ya mwezi mmoja. Bahati nzuri yana bima kubwa so makampuni ya bima ndio yataingia hasara hapo
 
Back
Top Bottom