Basi la Kampuni ya New Force lapata ajali na kuua watu watano

Basi la Kampuni ya New Force lapata ajali na kuua watu watano

kama uko eneo la tukio tunaomba u shoot gari vizuri na maelezo kamili

Basi kampuni ya mwekezaji kutoka China, New Force/Golden Deer imepata ajali na kuja watu wengi.

Wakati ajali hiyo inatokea ndani ya mwezi huu inatakua ajali ya 3 kwa kampuni hiyo baada ya last week kupata pia ajali maeneo ya Morogoro.

Chanzo ni mwendo wa mashindano.
Haya magari ya hii kampuni yanakimbia Sana. Unatamani kushuka
 
FB_IMG_1687357638833.jpg
 
Kuna dreva anaitwa Rama na mwingine huitwa Linyama kwenye hiyo kampuni wako rough hatari
Rama Tunduma Dar hiyo, jamaa niliwahi mfuata akiwa speed sanaaa, nilipomwambia apunguze speed Kuna jamaa wakawa wanampa kichwa kuwa aendelee kuipa moto, nikamwambia "kaka kuna wakati hizo kelele za wanaokushangilia hautaziona, utawajibika peke yako"

Alijifanya kukaza na kuongea maneno meeengi lakini alipunguza fujo kwa kiasi kikubwa sana!

Wakati fulani abiria wanachangia sana hizi ajali, either kwa kukaa kimya au kwa kushangilia madereva wanapokwenda
 
Back
Top Bottom