Mbona luduga ni mbele ya ilembula ukipita iponda au mi ndo sijuiView attachment 2664536
Hapo kwenye red ni Luduga
Umeona kwenye ile clip nyingine mabasi yanashindana watu wanashangalia na abiria wako kimya. Clip ilipoletwa hapa kuna wengi tu walikuwa wanashabikia. Mdanganyika akili yake anaijua mwenyewe na inamtosha kwenda maliwato tu.95% ya ajali za Kiafrija ni uzembe ,uzembe,uzembe,uzembe na ujinga.
Kweli nimeona kwenye malori mengi wamefunga huo mfumoHuangalii wewe ni mfumo unatrack na kutoa taarifa
Zifutwe afu watu wale wapi?Jeshi la polisi fanyeni kazi yenu kwa weledi. Mabasi yanayovunja sheria za barabarani mnayafahamu vizuri. Ikiwezekana hizo kampuni zifutwe kabisa.
Nchi ina vijana wa hovyo hii!!!Wamekufa watu...
Sidhani kama ni mahali sahihi pa kuleta utani wa aina hii...
Kimbinyiko yamechoka.Mabasi yaliyobaki ni
- Shabiby
- ABC
- Kilimanjaro
- Kimbinyiko
Alooooh🙆🙆🙆🙆😳😳😳😳Mungu awatie majeruhi na awalaze pema waliopoteza ndugu zao......
Daaah[emoji24][emoji24][emoji24]video za ajali hivyo tufungue kwa tahadhali.View attachment 2664408
Mnatufanya tucheke msibani🤭Alooooh🙆🙆🙆🙆😳😳😳😳
Calm down! ..relax mkuu....plzz☹️Mungu awatie majeruhi na awalaze pema waliopoteza ndugu zao......
Basi mpwa....kausha....si unajua mshituko wa ajali.....😄😄Alooooh🙆🙆🙆🙆😳😳😳😳
Hahahaaaa.....sawa mpwa....mshituko wa habari mbaya....😳😳😳😳Calm down! ..relax mkuu....plzz☹️