video za ajali hivyo tufungue kwa tahadhali.View attachment 2664408
Habari iko very partial,Basi kampuni ya mwekezaji kutoka China, New Force/Golden Deer imepata ajali na kuja watu wengi.
Wakati ajali hiyo inatokea ndani ya mwezi huu inatakua ajali ya 3 kwa kampuni hiyo baada ya last week kupata pia ajali maeneo ya Morogoro.
Chanzo ni mwendo wa mashindano.
KwakweliHebu tulia uandike vizuri uekeweke,idadi ya vifo, majeruhi na eneo basi lilipopata ajali
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Abood wana madereva wengine wajinga sana hasa kwenye ku-overtake...wasipojiangalia watakuja kusababisha ajali...BM,New force,Abood,haya sipandi aheri nipande Lori.
Dar kwenda mbeyaGari imetoka wapi na Inaenda wapi
Kuna watu ni kama wanatengeneza ajali ili ikitokea wawe wa kwanza kuandika mtandaoniUmeandika as if na ww Ndio unakaribiaa kukata Roho kwny hiyo ajali.
Duh kampuni yangu pendwa ya usafiri. Pole kwa wafiwa na majeruhi wajaliwe afya njemaBasi kampuni ya mwekezaji kutoka China, New Force/Golden Deer imepata ajali na kuja watu wengi.
Wakati ajali hiyo inatokea ndani ya mwezi huu inatakua ajali ya 3 kwa kampuni hiyo baada ya last week kupata pia ajali maeneo ya Morogoro.
Chanzo ni mwendo wa mashindano.
Bado nitaendelea kuwakumbusha waadau wanaopanda high speed,kua inauwa au inatia kilema, kinga ni bora kuliko tiba!!LATRA wamewafungia Ally's na Katarama kufanya huu ujinga wa kukimbizana kuna watu walikuwa wanalalamika. Matokeo yake ndo haya sasa.
Mungu Awapumzishe salama marehemu [emoji1545]
Madereva wawe wanapimwa akili kabla ya kupewa gari.Haya magari ya new force yanakimbia jamani, nakumbuka last week nimepanda new force naenda mbeya na ndo mara yangu ya kwanza kupanda new force.
Aloo gari inaovertake sijapata ona, maeneo yanayo-overtake ni ya hatari sana. Picha linaanza imeovertake gari na mbele kidogo tena kuna gari nyengine inakuja speed ila jamaa hawazi wala nini, kuna muda mpaka nikapiga kelele wenyeji wakawa wananishangaa wakaniambia mbona ni kawaida tu nikasema siangalii mbele.
Kuna muda tulikuwa kitonga nilikua naomba dua njia nzima tuvuke walau hapo, maana jamaa anaovertake pale tena yupo na mwendo mkali balaa njiA yenyewe ni nyembamba , muda mwngne tupo kwenye kona kali ila jamaa anaovertake na wala haangalii mbele kuna nini yeye anapiga honi tu anapita daah balaa sna haya magari.
Kuna member humu aishauri mabasi yote yafungwe kamera za kurekodi mwenendo wa safari ili kufilter madereva wazembe95% ya ajali za Kiafrija ni uzembe ,uzembe,uzembe,uzembe na ujinga.
Inasikitisha sana mkuu. Yaani watu mnakufa tu kama wanyama...and for what? Hata bima sidhani kama wanayo hawa. Nchi za wenzetu huko wafiwa angalau wanalipwa vidola laki/milioni kadhaa watakujengea angalau kitu cha ukumbusho. Huku kwetu mtu unakufa tu kama ng'ombe and nobody cares....Bado nitaendelea kuwakumbusha waadau wanaopanda high speed,kua inauwa au inatia kilema, kinga ni bora kuliko tiba!!
Haijitoshelezi
Nadhani ipo bima ya third party inayo cover mhanga wa tatu, ila wahuni bima huwa wanakwepa kulipaInasikitisha sana mkuu. Yaani watu mnakufa tu kama wanyama...and for what? Hata bima sidhani kama wanayo hawa. Nchi za wenzetu huko wafiwa angalau wanalipwa vidola laki/milioni kadhaa watakujengea angalau kitu cha ukumbusho. Huku kwetu mtu unakufa tu kama ng'ombe and nobody cares....
Duh noma sanavideo za ajali hivyo tufungue kwa tahadhali.View attachment 2664408