Basi la Kampuni ya New Force lapata ajali na kuua watu watano

Basi la Kampuni ya New Force lapata ajali na kuua watu watano

Kwenye Ile video nimeona mkono wa mtu ukiwa umechomoka kama mdoli...........

Mungu awatie nguvu majeruhi na awalaze pema waliopoteza ndugu zao......

Hawa watu wanakimbia utadhani wamebeba ng'ombe vile.......

Niliwahi kupanda New force naenda Tunduma nikashukia Ilula.....nilikuwa naona kabisa uhai wangu ukiwa rehani......nikasema pesa zinatafutwa....
 
Basi kampuni ya mwekezaji kutoka China, New Force/Golden Deer imepata ajali na kuua watu kadhaa.

Wakati ajali hiyo inatokea ndani ya mwezi huu itakuwa ajali ya 3 kwa kampuni hiyo baada ya last week kupata pia ajali maeneo ya Morogoro.

Chanzo ni mwendo wa mashindano.
Acha uchochezi Ndugu mwandishi
Alikuwa anashindana na nani
 
Screenshot_20230621_180433_Samsung Internet.jpg

Hapo kwenye red ni Luduga
 
Kwenye Ile video nimeona mkono wa mtu ukiwa umechomoka kama mdoli...........

Mungu awatie majeruhi na awalaze pema waliopoteza ndugu zao......

Hawa watu wanakimbia utadhani wamebeba ng'ombe vile.......

Niliwahi kupanda New force naenda Tunduma nikashukia Ilula.....nilikuwa naona kabisa uhai wangu ukiwa rehani......nikasema pesa zinatafutwa....
Hawa wachina ni kama wamekuja ku depopulate Afrika, tukienda kwenye records sidhani haipiti miezi mitatu bila hiyo kampuni kudondosha bus
 
KWamba madereva wanakimbizana kisa raia wamebet?

Ndio wanabeti kwa kupewa 100,000 kwa dereva anayewahi kufika pale Uyole au Msamvu au Magufuli. Hizi wapo madereva wa SAULI na Newforce. Kwa sisi tunaotumia barabara ya TANZAM, Hayo mabasi yalitakiwa yafungiwe muda na tumelalamika sana kuwa yachukuliwe hatua wenye mamlaka wananyamaza tu. Natamani leo dereva awe amekufa, kuwe na ndugu wa kiongozi yoyote wa nchi au awemo Polisi mmoja amayechukua rushwa ya 1000 kisha kufumbia macho huo upuuzi.

Kuna siku nilikuwa nasafiri na nipo kwenye V8 jamaa wakatupita wanakimbizana na hatukuweza wakutana hadi tumefika pale kwenye cheki point ya uhamiaji Makambako. Jamaa wanakimbiza hovyo, wana overtake hovyo n.k. Siku tulikutana na SAULI anashuka kitonga pale, aiseeeee.
 
Back
Top Bottom