Mbilima yimo
JF-Expert Member
- Sep 14, 2020
- 287
- 348
Katiba mpya ya Tanzania IPO karibu sana kupatikana kipindi hiki kuriko awamu yeyote, tukaze buti tusiwasikilize wenye tabia ya kuridhika na nguo ya zamani!!! Hongera Mpambanaji wetu Kamanda Mbowe!!!Hakuna watu waoga kuingia mtaani kama Watanzania. Alijaribu Mange Kimambi mwaka 2017/18 kuhamasisha maandamano kupitia Instagram hakuna hata mtu mmoja aliingia mtaani.
Baada ya uchaguzi wa 2020 ambao MAGUFULI aliuiba wote kupitia NEC na Polisi, Tundu Lissu aliitisha maandamano hakuna mtu alikwenda.
Urais ni Taasisi na siyo hivyo unavyochukulia wewe. Huyu unayemuona ni mwepesi kuliko MAGUFULI maamuzi yake yanaweza yakawa mabaya kuliko MAGUFULI.