barua ya wazi kwa ben saanane

barua ya wazi kwa ben saanane

Kwani kunywa kahawa ni kuacha kuingia JF tatizo Nicas Mtei anatumia pc ya ofcn na ofc ikifungwa ndo basi tena anabaki na nokia ya torch

Sasa wewe na yeye nani anatumia nokia ya tochi? Sahizi nakuona maeneo ya soko kuu kwenye kijiwe cha kahawa na bado upo jf! Si ndio unatumia kinokia cha tochi jamani
 
Last edited by a moderator:
Maadui ni wengi eeh katika ndoa yetu, tulipoianza safari walitutia moyo, tunapoonyesha mafanikio wanaibua vikwazo....

Aione Nivea, nitonye na Mr Rocky
wapendanao hawaaachani jiulize juzi usiku alikuwa wapi usione tunakuambia ukajisahaaau wala hakuna anayemtaka chunguza jf nzima wanawkae wote walimkataa wewe ukamkubali kakugnda ka loba kwiwkwiwkwiwkwwi
 
Sasa wewe na yeye nani anatumia nokia ya tochi? Sahizi nakuona maeneo ya soko kuu kwenye kijiwe cha kahawa na bado upo jf! Si ndio unatumia kinokia cha tochi jamani

Kama kanokia kangu ka torch naweza kuingia nako jf basi kako juu sana tofauti na mmeo Nicas Mtei ambaye ashaanza kupotea humu kisa ofc inakaribia kufungwa
copy Bishanga
 
Last edited by a moderator:
wapendanao hawaaachani jiulize juzi usiku alikuwa wapi usione tunakuambia ukajisahaaau wala hakuna anayemtaka chunguza jf nzima wanawkae wote walimkataa wewe ukamkubali kakugnda ka loba kwiwkwiwkwiwkwwi

mpasulie maana sweetlady sijui kaitoa wapi akili ya kuwapenda vijana wanaopenda kulelewa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom