mahaba yote niliyokuwa nakupa hukuridhika ona sasa unadanganywa na kavulana, mtoto anahitaji kumuona mama yake njoo nyumbani kwanza
naona penzi la mchaga limekukolea mweeeee shost haya kila la kheri
wapendanao hawaaachani jiulize juzi usiku alikuwa wapi usione tunakuambia ukajisahaaau wala hakuna anayemtaka chunguza jf nzima wanawkae wote walimkataa wewe ukamkubali kakugnda ka loba kwiwkwiwkwiwkwwi
Kama kanokia kangu ka torch naweza kuingia nako jf basi kako juu sana tofauti na mmeo Nicas Mtei ambaye ashaanza kupotea humu kisa ofc inakaribia kufungwa
copy Bishanga
hivi we mwanamke ulikosa nini kwangu ona sasa Nicas Mtei anavyomtolea mimacho Nivea
Nilikosa mapenzi ya dhati
Copy kwa Bishanga
mahaba yote niliyokuwa nakupa hukuridhika ona sasa unadanganywa na kavulana, mtoto anahitaji kumuona mama yake njoo nyumbani kwanza
naona penzi la mchaga limekukolea mweeeee shost haya kila la kheri