Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
yupo na kavulana eti kanaitwa Nicas Mtei yaani haka kajamaa zake ni kulelewa na mabinti
hahaha. Kajamaa kamekupora mke wewe lijamaa?
Last edited by a moderator:
yupo na kavulana eti kanaitwa Nicas Mtei yaani haka kajamaa zake ni kulelewa na mabinti
mwanamame anapenda kukopakopa nakutunzwa na majimama wanini eti kaka yangu ,si mbaya eeeee
yupo na kavulana eti kanaitwa Nicas Mtei yaani haka kajamaa zake ni kulelewa na mabinti
ila sosoliso ana kabaimaiya kakubwa ndo sababu Paloma hatoki hapo kwiwkwwiwkwiwwkwiwkwiwHiyo mbaya kabisa haifai hata kukaa karibu na mtu hiyo weka mbali na watu kabisa
Halafu sio kukopa tuu hata ofa za maana hatori hawezi honga hata kivtz bana tupa kule hana mpango na Paloma anakopwa mpaka basi ila sijui binamu yangu yule ana nini
ukisikia kutafutana ubaya sasa Nicas Mtei ndo unantafuta ubaya,unalifahamu timbwili la asha ngedere?
ati nini?
CC: Nicas Mtei nshaunguza mboga mwaga na ule ugali mweeeKhaaaaaaaa..... Nivea nashukuru kwa copy
cc: sweetlady hahahahhah Nicas Mtei mujini hapa
yupo na kavulana eti kanaitwa Nicas Mtei yaani haka kajamaa zake ni kulelewa na mabinti
CC: Nicas Mtei nshaunguza mboga mwaga na ule ugali mweee
we ulikaona wapi wakati anasema kuwa hakukugusa ulimuacha kama ulivyomkuta hahahaha
hahahahahahaa alokwambia namtaka Madame B nani? aka, mke wangu anantosha.