ukisikia kutafutana ubaya sasa Nicas Mtei ndo unantafuta ubaya,unalifahamu timbwili la asha ngedere?
The secretary....who else?
not what you expected huh?!?!?
Duuuuh Nivea kiboko khaaaa
according to bandiko lako la kuomba divorce mahakamani The secretary sio mkeo.. naomba ninukuu..
"6. Madame B ni mbea hana mfano,kanichonganisha na The secretary mpaka tumeachana".. sio mwandiko wako huu wewe Bishanga..?
Kwa masikitiko makubwa ninakuandikia waraka huu,kwa jina ninaitwa bishanga abashaija mkazi wa Chole road , kwenye li apartment masaki.Ninaendesha vx new model na akaunti yangu iko citibank na vekesheni zangu ni hawaii,kwa kifupi sina njaa kama Erickb52 Nicas Mtei , Judgement na Arushaone ambao kula yao ni kueneza majungu,hila na fitna.
Zumuni la balua hii ni kukufahamisha yafuatayo:
1. Madame B hakufai
2. Madame B ukimchezea anakutegua kiuno ( source: kiplagati26)
3. Madame B ni mtu wa limbwata sana na anatumia maji ya mochwale ( source: shosti wake Mamndenyi)
4. Madame B kila kukicha anaku cheat mara leo na tedo,kesho na CHAI CHUNGU keshokutwa na Shark........the list goes on
5. Madame B ni chichiem dam siri za mtikila ndo alikuwa anaziuza kwa kova
6. Madame B ni mbea hana mfano,kanichonganisha na The secretary mpaka tumeachana
7. Madame B ana shosti anaitwa aunt bilali wamjua weye?
8. Madame B kwa kuchuna hafai kafilisi bendi ya tp Chimbuvu ochestra,alikuwa anaingiza mashangingi ya kinondoni bure
9. Madame B ana plan kumtumia Remote amvushe bahari akajilipue yuke.
10. Madame B jana kanipigia simu 'oh bishanga nakuzimia Ben Saanane namlia hela tu' kha!
Ben Saanane tahadhari chukua hatua,kama ni kuingia ikulu nakushauri uingie aidha na Passion Lady, amu, Paloma, marejesho, Smile, Zion Daughter au ikishindikana Nivea.
Nawasilisha.
With deep concern,
Bishanga abashaija.

Mpe za uso
Bishanga nitake radhi. Ben Saanane ni shemeji yangu
sweetlady You make me a believer. You made me believe that God sends people in our life for a purpose. I thought my heart was broken for ever and it would remain shattered into pieces for the rest of my life. But God has his own ways of showing his love. He sent you in my life to heal my soul and to soothe my broken heart. Thank you for coming in my life when I was lonely and shattered. Thank you for supporting me and understanding me when no one was even willing to listen to me. You loved me and supported me when I needed it the most. Thank you for making my life extraordinary and magical. I want to grow old with you and I want to take my last breath in your arms. I am irrevocably in love with your soul
Bishanga nitake radhi. Ben Saanane ni shemeji yangu
Slave mi wala simo,wangu ni ushauri tu,mtanange ni Ben Saanane vs saccos ltd ,sijui ataweza?Bishanga vs Ben Saanane nani zaidi ?