barua ya wazi kwa ben saanane

barua ya wazi kwa ben saanane

Kosa ulilofanya kumshauri aende ikulu na wake za watu! Na kosa kubwa kuliko yote ni kumtaja mke wangu kwenye hiyo list. Kosa kubwa sana!!!

This is the last warning! Mke wangu marejesho ni mjamzito na hahitaji usumbufu wa aina yeyote kwa sasa!!!
nyie watu mmepotea sana humu umemwachia nani hapa rudini basi
 
Hiv kumbe nyuz za kijinga jinga kama hiz zipogo toka kitambo.

Sasa wale wengine wanasemaga ooh jf ya siku hiz imejaa utoto!! Ona akina saa 8 walichokua wanafanya 😂
 
Back
Top Bottom