Barbra Hassan wa Power Breakfast Clouds FM acha gubu

Barbra Hassan wa Power Breakfast Clouds FM acha gubu

Vipi kale kademu kengine cha upepo kwenye Amplifaya? bado kapo? maana nilishaacha kusikiliza kile kipindi baada ya kenyewe kuongezwa kama mtangazaji...utani wa kitoto mwingi na kanaboa kweli...sijui uongozi CMG unatatizo gani na watu kama hawa....
Amlifaya kimekuwa kipindi cha ovyo ovyo sana saivi..hakina mvuto kabisa kwangu
 
Wanavyoulizia sura kama wenyewe wazuri au wake wao wazuri. Sura yake inamtosha hiyo.
 
Msaada; Gubu ni nini? Mimi ni wamikoani sijaelewa hilo neno.
 
Nadhani ni chachandu tu ya kunogesha kipindi wanakuwa hawako serious we si unaona akina Masoud wanakuwa wanacheka tu
 
hawa kilaudis wao ni kila siku.. me spendi kwakweli huu wimbo unasehem zake na ukiusikia inabidi uache yooote utulie na kujiandaa kupata brekinnyuuuuzzz
walivo anza kuupiga walisema wame pitia taratibu zote za kibali cha kufanya hivo
 
Si dhani kama hua ni seriouz, just jokes tu kuongeza utamu wa kipindi. Na huo utani wao ndo unanifanyaga kupenda kusikiliza POWER BREAKFAST
 
Dah! Ila sauti zinadanganya sana jamani, yaani ile sauti ninayoisikiaga huwezi amini inatoka kwa chifupi,chibonge
 
Si dhani kama hua ni seriouz, just jokes tu kuongeza utamu wa kipindi. Na huo utani wao ndo unanifanyaga kupenda kusikiliza POWER BREAKFAST
Kwahiyo ni sawa tu fredwaa kukaripiwa kama mtoto mdogo na yeye kuwa kama kanyeshewa mvua??
 
ina andikwa barbara lakini ina tamkwa babra. "r" ya kwanza ni silent
 
Unajua kuna tofauti ya kutaja tu maneno ya kiingireza kwa kuyachanganya na kiswahili,na kuongea fluent english??
Hahahaa yule mdada akiongea ananiumiza kichwa, anapenda kweli kuchanganya kiingereza na kiswahili, tena kiingereza sio cha kufloo fasta fasta lazima apige desh kwa mda anatutaftia neno la kiingereza analitoa anaunga na kiswahili afu anastaki tena anatupia kiingereza na kujirudiarudia, ni km vile kiswahili hakijakaa kichwani so misamiati ni ya kiingereza ila anashindwa kupata kiswahili chake ndomana anatoa hivyohivyo kiingereza
 
Back
Top Bottom