Barbra Hassan wa Power Breakfast Clouds FM acha gubu

Clouds haijawahi kuwa serious na kipindi chao chochote,ni hovyo hovyo tu nadhani ni radio iliyokua designed kwa ajili ya vijana wanaovalia nguo chini ya matako na suruali zilizochanwa chanwa magotini.

Leo wamemwalika Balozi Kairuki akawa anaongelea mambo ya maana biashara ya Tanzanite kati ya Tz na China wao wanamkatisha katisha kila mara na lugha zao za chooni ooh sijui mzee Baba kafanya nini huyo balozi haelewi hata Hizo lugha za kihuni wanazotumia wao.Very foolish&Childish.
 
Huyu mwanadada/mwanamama ndo anayeongoza kipindi cha asubuhi cha Power breakfast,lakini amekuwa na tabia ya kuwakaripia kina masoud kipanya na ciza.

Kuna kipindi wakati Ciza ndo ameingia kwenye PB,alikuwa anamkatisha katisha wakati jamaa alikuwa anaongea,tena vitu vinavyomake sense,,mara amtishie atamzimia Mic mara vile,yaani vurugu tupu..

Sasa jana kazira kipindi kizima kisa Masoud kipanya alimwambia akae kimya,yeye aongee..na hii ndo tabia yake kukaripia wenzake,lakini yeye kidogo tu anazira..

Huyu mwanamama inabidi ajirekebisha..anakera sana
kibonge mwepesi yule. Tatizo ni single mother
 
chief, nadhani you're missing the whole point.

kwenye radio & tv aina hizi za debates ni muhimu ili kunogesha kipindi. check CNN, etc.
vinginevyo vipindi vinaweza kuwa extremely boring!
Ajabu GTs hawawezi kuona kitu kama hicho. Lakini ni kawaida ya watu waliotawaliwa na negativity kichwani mwao hawawezi kuangalia kitu positively.
 
Clouds haijawahi kuwa serious na kipindi chao chochote,ni hovyo hovyo tu nadhani ni radio iliyokua designed kwa ajili ya vijana wanaovalia nguo chini ya matako na suruali zilizochanwa chanwa magotini.

Leo wamemwalika Balozi Kairuki akawa anaongelea mambo ya maana biashara ya Tanzanite kati ya Tz na China wao wanamkatisha katisha kila mara na lugha zao za chooni ooh sijui mzee Baba kafanya nini huyo balozi haelewi hata Hizo lugha za kihuni wanazotumia wao.Very foolish&Childish.
Vyombo vya habari vingi vya bongo ni vya hovyo hovyo kweli,,ila ndo hivo vinatofautiana u hovyohovyo..Media za Kenya aisee zipo juu,,ukiangalia habari citizen tv hadi mwenyewe unakubali,media zao ni standard za international..
 
JF inaelekea kuwa kijiwe cha majungu na kuchafua watu.......!!!!

Members wanashindwa kutofautisha kati ya kukosoa na kuchafua!!!!!

Mkosoaji anatakiwa ajikite kazi yake tu na sio maisha yake binafsi!!!!!....

Mods wanatakiwa kuwa makini katika hili.....!!!

JF ni sehemu makini kwa watu makini!!! Na sio sehemu ya kupiga umbea na majungu
 
Huyu mwanadada/mwanamama ndo anayeongoza kipindi cha asubuhi cha Power breakfast,lakini amekuwa na tabia ya kuwakaripia kina masoud kipanya na ciza.

Kuna kipindi wakati Ciza ndo ameingia kwenye PB,alikuwa anamkatisha katisha wakati jamaa alikuwa anaongea,tena vitu vinavyomake sense,,mara amtishie atamzimia Mic mara vile,yaani vurugu tupu..

Sasa jana kazira kipindi kizima kisa Masoud kipanya alimwambia akae kimya,yeye aongee..na hii ndo tabia yake kukaripia wenzake,lakini yeye kidogo tu anazira..

Huyu mwanamama inabidi ajirekebisha..anakera sana
Mwambie 07108989*8 namba yake
 
Vipi kale kademu kengine cha upepo kwenye Amplifaya? bado kapo? maana nilishaacha kusikiliza kile kipindi baada ya kenyewe kuongezwa kama mtangazaji...utani wa kitoto mwingi na kanaboa kweli...sijui uongozi CMG unatatizo gani na watu kama hawa....
 
Back
Top Bottom