Barbra Hassan wa Power Breakfast Clouds FM acha gubu

Wanataniana tu isitoshe yeye ni boss wa hicho kipindi. Binafsi namkubali na jokes zao nazikubali. Kuhusu mood ni kawaida yA akina mama wote
 
Wanaopenda mitupwisaa mnakaribishwa.Huyu dada ana mdomo hata mwanamke wa Kizaramo hayuko hivyo.Sijui ni mchaga wa wapi huyu na sijui kwann hatumii jina la Marealle la babake
No way..kumbe ni mchaga!!
 
Huyu mwanadada/mwanamama ndo anayeongoza kipindi cha asubuhi cha Power breakfast,lakini amekuwa na tabia ya kuwakaripia kina masoud kipanya na ciza.

Kuna kipindi wakati Ciza ndo ameingia kwenye PB,alikuwa anamkatisha katisha wakati jamaa alikuwa anaongea,tena vitu vinavyomake sense,,mara amtishie atamzimia Mic mara vile,yaani vurugu tupu..

Sasa jana kazira kipindi kizima kisa Masoud kipanya alimwambia akae kimya,yeye aongee..na hii ndo tabia yake kukaripia wenzake,lakini yeye kidogo tu anazira..

Huyu mwanamama inabidi ajirekebisha..anakera sana
pia waache kutumia wimbo wa taifa kuupiga asubuhi kama kibwagizo cha habari yao
 
Wimbo wa taifa unapigwa kwenye special occations tu..hata shule za sekondari unaimbwa mara nyingi jumatatu tu
 
Huyu mwanadada/mwanamama ndo anayeongoza kipindi cha asubuhi cha Power breakfast,lakini amekuwa na tabia ya kuwakaripia kina masoud kipanya na ciza.

Kuna kipindi wakati Ciza ndo ameingia kwenye PB,alikuwa anamkatisha katisha wakati jamaa alikuwa anaongea,tena vitu vinavyomake sense,,mara amtishie atamzimia Mic mara vile,yaani vurugu tupu..

Sasa jana kazira kipindi kizima kisa Masoud kipanya alimwambia akae kimya,yeye aongee..na hii ndo tabia yake kukaripia wenzake,lakini yeye kidogo tu anazira..

Huyu mwanamama inabidi ajirekebisha..anakera sana
Just Jokes Hao watu!Wazoeeee
 
Wimbo wa taifa unapigwa kwenye special occations tu..hata shule za sekondari unaimbwa mara nyingi jumatatu tu
hawa kilaudis wao ni kila siku.. me spendi kwakweli huu wimbo unasehem zake na ukiusikia inabidi uache yooote utulie na kujiandaa kupata brekinnyuuuuzzz
 
Anapenda sana kuongea Kiingereza kibovu cha kulazimisha ,Babra ongea tu kiswahili lugha yetu adhimu utaeleweka.
 
Na pia kuongea term za kimedical huku nyingine akitulisha matango pori,,kama kuna siku nilimsikia akisema kuwa"blood arteries ni shinikizo la damu"
 
Back
Top Bottom