Barbra Hassan wa Power Breakfast Clouds FM acha gubu

Barbra Hassan wa Power Breakfast Clouds FM acha gubu

Let me guess, ni mnene na anajichubua kinoma, hana bwana wa kumtimizia mahitaji yake ya usiku kitandani, kutokana na kukosa hivi vitu anawatolea stress Wafanyakazi wenzake. Tulisema hapa, dushe ni dawa watu wakatukatalia na wengine wakataka kujiua, si mnaona sasa mwenzenu Barbra Hassan anachanganikiwa?
Na kazi aliyonayo anakosa kweli mwanaume??..sina hakika
 
Nampenda sana huyu dada.

Nadhani ni drama tu ambazo watu wanakuwa nazo.

Kukiwa na watu wawili watatu drama lazima ziwepo
Si mtaki hata kidogo yule mama hayo yoote yaliyo andikwa hapo niliyaona pale tu walipo sifiwa na jiwe
 
Muite huyu dada.... Muite Barbra etc..... Atakuwa anapitia humu au marafiki zake so mkimkosoa vizuri atajifunza tuu
 
Nadhani ndo ume anza kuijua p.b leo, utani huo una nogesha kipindi.
 
Back
Top Bottom