Barbra Hassan wa Power Breakfast Clouds FM acha gubu

Barbra Hassan wa Power Breakfast Clouds FM acha gubu

Darmian

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
17,313
Reaction score
46,823
Huyu mwanadada/mwanamama ndo anayeongoza kipindi cha asubuhi cha Power breakfast,lakini amekuwa na tabia ya kuwakaripia kina masoud kipanya na ciza.

Kuna kipindi wakati Ciza ndo ameingia kwenye PB,alikuwa anamkatisha katisha wakati jamaa alikuwa anaongea,tena vitu vinavyomake sense,,mara amtishie atamzimia Mic mara vile,yaani vurugu tupu..

Sasa jana kazira kipindi kizima kisa Masoud kipanya alimwambia akae kimya,yeye aongee..na hii ndo tabia yake kukaripia wenzake,lakini yeye kidogo tu anazira..

Huyu mwanamama inabidi ajirekebisha..anakera sana
 
Baada ya waziri mwenye Dhamana kupiga marufuku Magazeti kusomwa kwa kina redioni, Huyo mdada alizidisha ubabe kipindi kikanishinda... Naomba mrejesho kama bado kinamvuto!!
Akiwepo ciza,pj na kipanya mambo yanaenda fresh,ila yeye akiwepo,kila kitu anajifanya anakijua,na ubabe wa kuwazimia mic wenzake..
 
Wanaume jitoleeni mumuoe, ataacha
Kama ndio huyu, ebu tutake radhi mkuu....
download-1.jpeg
 
Back
Top Bottom