Barbra Hassan wa Power Breakfast Clouds FM acha gubu

Acha utani bana hebu bandika picha yake halisi
Nakazia.....View attachment 813256
images.jpeg
 
tuache wivu Dada wa watu kazi anapiga na zile ni swaga tu za kunogesha kipind, sababu weng tu baadhi ya redio nyingine wanamuiga, so ni stlye ya.mtu hasa ukikutana na mtu kipanya , utani ni mwingi ila kuna ujumbe mzur
 
Huyu mwanadada/mwanamama ndo anayeongoza kipindi cha asubuhi cha Power breakfast,lakini amekuwa na tabia ya kuwakaripia kina masoud kipanya na ciza.

Kuna kipindi wakati Ciza ndo ameingia kwenye PB,alikuwa anamkatisha katisha wakati jamaa alikuwa anaongea,tena vitu vinavyomake sense,,mara amtishie atamzimia Mic mara vile,yaani vurugu tupu..

Sasa jana kazira kipindi kizima kisa Masoud kipanya alimwambia akae kimya,yeye aongee..na hii ndo tabia yake kukaripia wenzake,lakini yeye kidogo tu anazira..

Huyu mwanamama inabidi ajirekebisha..anakera sana
Pole Kipanya
 
Yakija matangazo sasa kila kinachotangazwa ye kashatumia au kukifanya.......
Likja tangazo la ndege keshaipanda
Likija tangazo la sementi kashatumia
Likija tangazo la mafuta kashatumia
Likija tangazo la msosi kashakula
Likija tangazo la Simu kashatumia
Likija tangazo la daladala kashapanda
 
Back
Top Bottom