Barbra Hassan wa Power Breakfast Clouds FM acha gubu

Barbra Hassan wa Power Breakfast Clouds FM acha gubu

Mnavyomfuatili inaonyesha dhahiri mnamkoma.

Kuna Watangazaji wangapi wa kike na hamjawahi kuwapa Air time, kila siku Babra.
 
Dahhh....
Hata mimi pia nasubiria wanao mjua wakuje... tehteehhh
maana kama ndo huyu mbona lizee hili limeshakongoloka.. ila inavoongea kwenye kipindi duh! linonekana libabe flani hiviii.. asavali ya DIVA japo nae pepe sana
 
Sio siri sauti yake huwa inanipa raha sana na zaidi ya yote anajua kuongea, kushangaa, kuuliza, kucheka, yuko complete, kiukweli ananivutia sana sana sana sana, natamani nikae tukiongea naye mambo ya utani milele yote.
 
Back
Top Bottom