Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,933
- 3,406
Mkoani tanga au wapi?Msaada; Gubu ni nini? Mimi ni wamikoani sijaelewa hilo neno.
Mkoani tanga au wapi?Msaada; Gubu ni nini? Mimi ni wamikoani sijaelewa hilo neno.
MaraMkoani tanga au wapi?
Atakuwa mnyakyusa uyo,ndivo walivyo wana spirit of control wanawakeNaomba nisiongeze neno tafadhali...View attachment 812983
Ushaambiwa ni chifupi chibonge, so wanamchukulia km troll flani hivi, au labda ukibishana na mfupi unaonekana unamuoneaKwahiyo ni sawa tu fredwaa kukaripiwa kama mtoto mdogo na yeye kuwa kama kanyeshewa mvua??
Mkuu mimi nimekosoa..sijaja kwa lengo la kuchafua..ni wapi kwenye uzi wangu nimemchafua babra??Yaani siku hizi JF mtu tu akijisikia kumchafua mtu....anakuja tu huku kumuanzishia uzi.....!!!
JF ni sehemu makini Haya yanayoendelea yanaifanya JF kuwa kijiwe cha wambea na wapika majungu!!!!
JF ni chombo cha heshima!!!!!
Wadau wengine wanaenda mbali sana!!!!!
Huyu mdada anaonekana anapenda kulaAtakuwa mnyakyusa uyo,ndivo walivyo wana spirit of control wanawake
Mara
nipo kwa Neymar jr now[emoji39]Vipi??..George bantu ulimpata??
Menopause na hoja yako vina uhusiano gani...!!?Mkuu mimi nimekosoa..sijaja kwa lengo la kuchafua..ni wapi kwenye uzi wangu nimemchafua babra??
Hapa ndipo ilipofikia JF....Hivi kwa comments zinazoendelea kuhusu huyu binti humu ndani ni suala la kuzira tu au kuna mengine nyuma ya pazia? Kuna comments humu kuhusu huyu binti ambazo sio fair kabisa.
Menopose ni level ya umri tu..sasa nikisema mtoto wa miaka 14 yupo kwenye adolescence nakuwa nimekosea??..anyway zaidi ya hapo sidhani kama kunasehemu nyingine nimemzungumzia personally zaidi ya kero niliyoiletaMenopause na hoja yako vina uhusiano gani...!!?
Naona mumkome demu wangu mtarajiwa. Wivu tu na hamna jipyaHuyu mwanadada/mwanamama ndo anayeongoza kipindi cha asubuhi cha Power breakfast,lakini amekuwa na tabia ya kuwakaripia kina masoud kipanya na ciza.
Kuna kipindi wakati Ciza ndo ameingia kwenye PB,alikuwa anamkatisha katisha wakati jamaa alikuwa anaongea,tena vitu vinavyomake sense,,mara amtishie atamzimia Mic mara vile,yaani vurugu tupu..
Sasa jana kazira kipindi kizima kisa Masoud kipanya alimwambia akae kimya,yeye aongee..na hii ndo tabia yake kukaripia wenzake,lakini yeye kidogo tu anazira..
Huyu mwanamama inabidi ajirekebisha..anakera sana
People are hiding behind their false identity to write nonsensical and denigrating comments about others people without any evidence or sense of respect for fellow human beings. Sadistic mindset!Hapa ndipo ilipofikia JF....
Sio tena home of great thinkers
Bali ni kijiwe cha wambea kusutana na kuchafuana
Kumbe kibonge ivi, ile sauti siyo yake atakuwa anaigiza tu. Anafaa Leo tena huyu.Naomba nisiongeze neno tafadhali...View attachment 812983
Ha ha haa ww utakuwa ni Masood Panya umeamua kutumia njia mbadala ya kufikisha ujumbe .....janja janja kweli ww njembaHuyu mwanadada/mwanamama ndo anayeongoza kipindi cha asubuhi cha Power breakfast,lakini amekuwa na tabia ya kuwakaripia kina masoud kipanya na ciza.
Kuna kipindi wakati Ciza ndo ameingia kwenye PB,alikuwa anamkatisha katisha wakati jamaa alikuwa anaongea,tena vitu vinavyomake sense,,mara amtishie atamzimia Mic mara vile,yaani vurugu tupu..
Sasa jana kazira kipindi kizima kisa Masoud kipanya alimwambia akae kimya,yeye aongee..na hii ndo tabia yake kukaripia wenzake,lakini yeye kidogo tu anazira..
Huyu mwanamama inabidi ajirekebisha..anakera sana
Dah! Ila sauti zinadanganya sana jamani, yaani ile sauti ninayoisikiaga huwezi amini inatoka kwa chifupi,chibonge