Barbra Hassan wa Power Breakfast Clouds FM acha gubu

Duuh aisee mbona sauti yake na yy alivyo haviendani...
hiki ni kituko!!
Kituko gani mkuu? She's beautiful and I think smart too. Hayo mengine ni kumchafua dada wa watu tu. Kwani ni kitu gani mnaangalia kufanya judgement kuwa fulani ni mzuri wa sura na umbo?

Nadhani watu wachangie hoja ya yeye kuzira, ila sio kuongelea uzuri/ukituko wake. She's a very pretty lady.
 
Huyu mwanadada/mwanamama ndo anayeongoza kipindi cha asubuhi cha Power breakfast,lakini amekuwa na tabia ya kuwakaripia kina masoud kipanya na ciza.

Kuna kipindi wakati Ciza ndo ameingia kwenye PB,alikuwa anamkatisha katisha wakati jamaa alikuwa anaongea,tena vitu vinavyomake sense,,mara amtishie atamzimia Mic mara vile,yaani vurugu tupu..

Sasa jana kazira kipindi kizima kisa Masoud kipanya alimwambia akae kimya,yeye aongee..na hii ndo tabia yake kukaripia wenzake,lakini yeye kidogo tu anazira..

Huyu mwanamama inabidi ajirekebisha..anakera sana
atakuwa anamimba labda
 
Kp akiwa na cizza huwa wanapenda kumzingua baboo ila ndo kipind kinakua kitam.
Ila ule utan na kp mmmh lzma uonje asali
 
Naelewa mkuu..ila kuna ile unaona kabisa kamind..mfano jana kipindi kizima alikuwa anakaa kimya..sasa CNN wao wanafanya hivyo??
Kuna utani wa kawaida,that is okey..ila kama hizi ni drama basi ni too much

Wao wanaandaa kipindi mapema. Nyie ndo msiojua mnawashwa na upele wa jirani
 
maana kama ndo huyu mbona lizee hili limeshakongoloka.. ila inavoongea kwenye kipindi duh! linonekana libabe flani hiviii.. asavali ya DIVA japo nae pepe sana

Mzee wewe una Miaka mingapi umwite dada yule Mzee. Au chekechea.
 
Kituko gani mkuu? She's beautiful and I think smart too. Hayo mengine ni kumchafua dada wa watu tu. Kwani ni kitu gani mnaangalia kufanya judgement kuwa fulani ni mzuri wa sura na umbo?

Nadhani watu wachangie hoja ya yeye kuzira, ila sio kuongelea uzuri/ukituko wake. She's a very pretty lady.
Samahani nilikuwa nimelewa wakati na komenti....
nimejipiga vikwenzi viwili...
 
Huyu mwanadada/mwanamama ndo anayeongoza kipindi cha asubuhi cha Power breakfast,lakini amekuwa na tabia ya kuwakaripia kina masoud kipanya na ciza.

Kuna kipindi wakati Ciza ndo ameingia kwenye PB,alikuwa anamkatisha katisha wakati jamaa alikuwa anaongea,tena vitu vinavyomake sense,,mara amtishie atamzimia Mic mara vile,yaani vurugu tupu..

Sasa jana kazira kipindi kizima kisa Masoud kipanya alimwambia akae kimya,yeye aongee..na hii ndo tabia yake kukaripia wenzake,lakini yeye kidogo tu anazira..

Huyu mwanamama inabidi ajirekebisha..anakera sana
Barbra Hassan yuko vizuri sana anajua anachofanya,
mengine ni porojo za hapa na pale!!!!!!!
Majibu hayo!!hata mm hua ni mdau wa pb sioni tatizo. ..kama vipi anza kubadilika maisha sio serious kama unavyoona hua wanataniana tu!!
 
Back
Top Bottom