Barbra Hassan wa Power Breakfast Clouds FM acha gubu

Huyu mwanadada/mwanamama ndo anayeongoza kipindi cha asubuhi cha Power breakfast,lakini amekuwa na tabia ya kuwakaripia kina masoud kipanya na ciza.

Kuna kipindi wakati Ciza ndo ameingia kwenye PB,alikuwa anamkatisha katisha wakati jamaa alikuwa anaongea,tena vitu vinavyomake sense,,mara amtishie atamzimia Mic mara vile,yaani vurugu tupu..

Sasa jana kazira kipindi kizima kisa Masoud kipanya alimwambia akae kimya,yeye aongee..na hii ndo tabia yake kukaripia wenzake,lakini yeye kidogo tu anazira..

Huyu mwanamama inabidi ajirekebisha..anakera sana
chief, nadhani you're missing the whole point.

kwenye radio & tv aina hizi za debates ni muhimu ili kunogesha kipindi. check CNN, etc.
vinginevyo vipindi vinaweza kuwa extremely boring!
 
Naelewa mkuu..ila kuna ile unaona kabisa kamind..mfano jana kipindi kizima alikuwa anakaa kimya..sasa CNN wao wanafanya hivyo??
Kuna utani wa kawaida,that is okey..ila kama hizi ni drama basi ni too much
 
Sijawahi kumkubali Babra, labda kwa kujua kusoma kiingereza vizuri, otherwise awaache wenzie waflow, wanajua vitu katika nyanja nyingi na kuvipeleka.. Nafikiri ni wakati clouds, watafute na mtangazaji mwingine wa kike, ili kuwa na mbadala.
 
Huyu mwanadada/mwanamama ndo anayeongoza kipindi cha asubuhi cha Power breakfast,lakini amekuwa na tabia ya kuwakaripia kina masoud kipanya na ciza.

Kuna kipindi wakati Ciza ndo ameingia kwenye PB,alikuwa anamkatisha katisha wakati jamaa alikuwa anaongea,tena vitu vinavyomake sense,,mara amtishie atamzimia Mic mara vile,yaani vurugu tupu..

Sasa jana kazira kipindi kizima kisa Masoud kipanya alimwambia akae kimya,yeye aongee..na hii ndo tabia yake kukaripia wenzake,lakini yeye kidogo tu anazira..

Huyu mwanamama inabidi ajirekebisha..anakera sana

Let me guess, ni mnene na anajichubua kinoma, hana bwana wa kumtimizia mahitaji yake ya usiku kitandani, kutokana na kukosa hivi vitu anawatolea stress Wafanyakazi wenzake. Tulisema hapa, dushe ni dawa watu wakatukatalia na wengine wakataka kujiua, si mnaona sasa mwenzenu Barbra Hassan anachanganikiwa?
 
Back
Top Bottom