Barbra Hassan wa Power Breakfast Clouds FM acha gubu

Barbra Hassan wa Power Breakfast Clouds FM acha gubu

hyo dada anasauti nzuri sana...nikajua ni kiportable flan hiv amazing
 
Nilijua ni mimi tu ndio nimeliona hili. Nashukuru kwa kuleta hii taarifa. Ana hiyo tabia sana ni kama vile wenzie wanaongea utumbo tu. Kawa monitress kwenye kipindi. It's boring and totally unprofessional.
 
Huyu mwanadada/mwanamama ndo anayeongoza kipindi cha asubuhi cha Power breakfast,lakini amekuwa na tabia ya kuwakaripia kina masoud kipanya na ciza.

Kuna kipindi wakati Ciza ndo ameingia kwenye PB,alikuwa anamkatisha katisha wakati jamaa alikuwa anaongea,tena vitu vinavyomake sense,,mara amtishie atamzimia Mic mara vile,yaani vurugu tupu..

Sasa jana kazira kipindi kizima kisa Masoud kipanya alimwambia akae kimya,yeye aongee..na hii ndo tabia yake kukaripia wenzake,lakini yeye kidogo tu anazira..

Huyu mwanamama inabidi ajirekebisha..anakera sana
Dah...Ila wote hao uelewa wao mdogo sana katika mambo mengi sana...wanaipotosha jamii mara nyingi kwa kutoa ufafanuzi usio wa kweli...kwanini wasitafute infos kwanza kabla ya kuanza kubishana kwenye mambo ambayo wote hawajui sawa sawa?......angalau Kipanya kidogo mawili matatu anayajua...hasa hili la ndoa ya wanawake wengi....😀😀😀
 
All in all huyu mazake ashley ana tatizo ktk kumudu hisia zake kali,anamkaripia fredwa kama mtoto mdogo

Nadhani ni stress za masingo maza hapa mjini
 
sio kwamba wana-create argument ili kipindi kiwe na uchangamfu fulani?! BTW Kipanya na wenzie kuna vitu wanavijua ila wana-act hawavijui kwasababu kuna wasikilizaji pia wanaweza wasivijue hivyo kuwasaidia baadae wavijue ndio maana unaweza kukuta wanamuuliza mgeni swali ambalo wewe unashangaa inakuwaje Kipanya hajui kitu hiki.
 
All in all huyu mazake ashley ana tatizo ktk kumudu hisia zake kali,anamkaripia fredwa kama mtoto mdogo

Nadhani ni stress za masingo maza hapa mjini
Ndo linalonishangaza..maana kuna ule utani kila mtu anaelewa kuwa huu ni utani,ila yeye anavyofanya ni kuwa anakuwa amemaanisha..abadilike
 
sio kwamba wana-create argument ili kipindi kiwe na uchangamfu fulani?! BTW Kipanya na wenzie kuna vitu wanavijua ila wana-act hawavijui kwasababu kuna wasikilizaji pia wanaweza wasivijue hivyo kuwasaidia baadae wavijue ndio maana unaweza kukuta wanamuuliza mgeni swali ambalo wewe unashangaa inakuwaje Kipanya hajui kitu hiki.
Na pia Kipanya kwenye maswala mengi yanayoendelea TZ anakuwa anayafahamu vizuri,,mfano angalia katuni anazozichora!!..ila redioni ameweka ukuta wa kuzungumza maana linaweza kutokea la kutokea na ukaikosti kampuni..
 
Jamani wakati mwingine ni vizuri kukubali kuwa binadamu lazima kutofautiana, muhimu ni kukubaliana ktk kutofautiana kwetu.
 
Back
Top Bottom