Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

jamani mkumbuke wengine hakuna TV hakuna redio tunategemea JF plese tupeni habari hapo!
 
Wakati tukimsubiri JK kulitaja baraza lake, sio vibaya mkijua, waandishi waliitwa wawepo pale toka saa 4:00 asubuhi, wengine ili wasichelewe, wakawahi toka saa 3 asubuhi, saa hizi inakwenda saa 6:30!, hii ndio timeliness ya rais wetu!
 
mbona kibonde anaonekana ana wasiwasi sana na anaona aibu? anajua tunamwandika huku nini?

Huyu jamaa hebu muacheni tu maana kumzungumzia ni kuzidi kumpa publicity isiyo na msingi wowote ule lets stick to the topic
 
naona kuna watu watanyweshwa pombe leo ilihali wamezoea soda.

The oppressed are allowed once every few years to decide which particular representatives of the oppressing class are to represent and repress them.

~Karl Marx

Wakati tukimsubiri JK kulitaja baraza lake, sio vibaya mkijua, waandishi waliitwa wawepo pale toka saa 4:00 asubuhi, wengine ili wasichelewe, wakawahi toka saa 3 asubuhi, saa hizi inakwenda saa 6:30!, hii ndio timeliness ya rais wetu!

Usishangae Pasco Miafrika ndivyo tulivyo
 
Tena atakapokuja mtamsikiliza kama angalau, atasema sorry kuchelewa, usitegemee, sio siri pamoja na yote yanayomhusu Ben Mkapa, he was serious and very timely, na akichelewa, unamona kabisa ana feel soory na ana apologize. Not JK, hata akichelewa, no guilt feeling hata kidogo, hakuna apology, typical uswahili swahili mananers, ila ndio rais wetu, na hiyo sio kosa lake, ndio asili yake, tuendelee kusubiri mheshimiwa aje ataje.
 
Back
Top Bottom